Live updates Mkutano wa Dr. Slaa Morogoro.

Live updates Mkutano wa Dr. Slaa Morogoro.

Wana Moro, baada ya somo zito la msingi wa amani ya nchi ni haki na matumaini ya wananchi...kutoka kwa Dkt. Slaa.

Sasa ni wakati wa maswali...
unaweza kuangalia hao waliosimama hapo na ukajua ni kundi gani then tupa kule
 
baada ya kukamilika kwa mahafali ya chaso ambapo rai.s dr. Slaa alitunuku nishani na vyeti kwa wahitimu 183 wa wanachama wa chadema, kwa takribani saa moja sasa barabara za mitaa ya manispaa ya morogoro zimefungwa kupisha msafara wa magari na maandamano ya kuelekea vilipo viwanja vya mkutano. Viwanja vya sabasaba vimejaa tangu saa saba. Nitaleta picha

mpaka sasa hakuna hata mbu aliyekufa.
 
Huu uzi una wageni wengi kuliko wenyeji.Kwanini hawa wageni hawajisajili au ndo kina Salva?

There are currently 244 users browsing this thread. (37 members and 207 guests)
 
Kimsingi Dr Slaa amemalizia kuhudhuria kinachoendelea hapa ni Dr Slaa amewapa fursa wananchi kuuliza maswali mbali huku wananchi wakisema kwa CCM mara nyingi wanakataa kuulizwa maswali
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1370097225348.jpg
    uploadfromtaptalk1370097225348.jpg
    117.7 KB · Views: 123
  • uploadfromtaptalk1370097265295.jpg
    uploadfromtaptalk1370097265295.jpg
    80.4 KB · Views: 118
Hawa watoto wnatumika kweli maskini!
wanatumikia chama chao na wanauhakika wakitoka hapo cha mfukoni uhakika na home wanafika salama nani anataka akapoteze viungo vyake au uhai wake bila chochote mfukoni.
 
Wananchi wanacheka hapa kua muda Mh Rais Kikwete yupo Japani ameenda kuzindua Pre School(Chekechea) yupo huko toka tarehe 28

Na uhakika hizi ni taarifa za uhakika kabisa kutoka vyanzo vya habari ndani ya usalama wa taifa vinavyoripoti kwa katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania....kiwanda chao bana.
 
Kuna mwananchi toka Dumila, kaibua hoja ya wale polisi waliokamatwa kwa kubambikia kesi ya FUVU la binadam kwa mwananchi. Balaa
 
Huu uzi una wageni wengi kuliko wenyeji.Kwanini hawa wageni hawajisajili au ndo kina Salva?

There are currently 244 users browsing this thread. (37 members and 207 guests)
 
Wengi wanatoa maoni tuu mfano akina mama wajitokeze zaidi kwenye kujiandikisha ili kuwaadhibu CCM,ieleweke mengi ni maoni wakuu
 
Dr anamalizia wakuu hv
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1370098729590.jpg
    uploadfromtaptalk1370098729590.jpg
    55.5 KB · Views: 111
mwongo ww.msafara ulikuwa wa kawaida na pikipiki za kawaida kwani kila mwendesha pikipiki alilipwa 8,000.slaa aliingia mjini mida ya saa 8 na ushee hivi akaelekea savoy .mie nipo hapa kwenye viwanja vya k/ndege panapofanyika mkutano.kila mtu hapa mjini anaendelea na shughuli zake kama kawaida.utadhani hakuna mkutano.tunamshukuru mungu kuwa chadema wameshika adabu.ila matusi hapa mkutanoni kama kawaida.vibaka wamejaa usiseme.wenyewe (vibaka)wanasubiri litokee jambo wafanye kazi yao.ila sasa ni saa 12 na dakika 5 inaelekea wamepiga chini.babu hana jipya.yaleyale.:embarassed2::embarassed2:
 
Back
Top Bottom