Live updates Mkutano wa Dr. Slaa Morogoro.

Live updates Mkutano wa Dr. Slaa Morogoro.

Heche ndo anamaliza hotuba yake, sasa anatamka kumkaribisha Dr. Slaa

pamoja sana Hanipha.. ukiweza kutupia makontent ya maspichi siyo mbaya.. huku Laurence na Mpanda Jr wakitupia mapicha inakuwa pouwaaaaaaaaaaaaaaaaa... WALIBERALI WANAPISHANA TOILET SASA HIVI....
 
Simba wa dume limepanda jukwaani. Hakuna uliberali hapa. Bili Diamond uwanja umenyomi balaa
 
Kifo cha ccm hakiepukiki.. Ccm isipokufa nchi itayumba, tutapata laana. Utawala wake siyo mapenz ya mungu. Mapenz ya mungu kwetu ni kutupatia chama makin na viongoz makin tofauti na ilivyo sasa tunavyo henyeshwa na hawa mafisad waliokomaa
 
Hahaaaaa Mkuu, waliberali wamekimbia lumumba hapo... sasa hivi wapo katika hili kundi kama guest....24 members and 92 guests)

wanabip mziki wa CDM.. WANADHANI CDM NI KAMA KILE CHAMA CHA WALIBERALI WAKATI ULEE 2005, NA 1995..

LAZIMA WAKAE.. NA HAPO HAKUNA CHA MSANII WA AINA YOYOTE.. WALA HAKUNA UBWABWA WALA KHANGA WALA BUKU 5.. WALA MALORI...... R.I.P LUMUMBA TEAM....

Hahahahaaaaaaaaaaaaaaa! Wenje kawashika pabaya!
Siku ile kule bungeni... Hakisomwi kitu hapa walahi tena........! Tutakufa na ntu leooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hahahahaaaaaaaaaaaa!
 
bora mtu akafanya ulebali kuliko wizi wa mke wa mtu huku ukijifanya padri. Kumpiga pambaja mwanaume mwenzako haikubaliki.

eti????
Unasemaaaaaajee katika red hapo.......????
Dunia imekusikia , naskia upo kimauzo zaidi katika huu uzi unatafuta wa kutumia kabang yako.... Unajua ulivyopatikana muulize maza wako......
 
Tupia tupia mapics Hili chama la Peoples chama la wajanja Mikutano ya waliberali na wakomunist huwezi kuona updates za namna hiii
 
There are currently 150 users browsing this thread. (31 members and 119 guests)-Walibelali wa Lumumba na majangiri ya tembo yapo katika hili kundi
 
Huyo mrembo wetu kikwete ndie anaependa vibinti, au hujui kama kila wilaya ana binti na amezaa nao?
 
Tupia tupia mapics Hili chama la Peoples chama la wajanja Mikutano ya waliberali na wakomunist huwezi kuona updates za namna hiii

kula LIKEEEEEEEEEEEEEEEEEE

PAMOJA MKUU... WALIBERALI WAKO PHARMACY SASA WANATAFUTA DAWA ZA KUHARISHA.......

WAKOMUNISTI WAMEFUNGA LUMUMBA KWA MUDA.... MPAKA MKUTANO HUU UTAKAPOISHA......PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Duuuh, kweli nimeamini chadema ni balaa, kwa jinsi ninavyoujua mji wa moro, kwa kujaza hiviii, kweli chadema ni kiboko!!!

Poleni sana, hapa kwa mikakati yenu mliua mtu, tutawaletea picha za watu watakaofika kwenye mazishi ya Cowobama.
 
Naendelea kutupiamo mie mpaka Magamba wanune
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1370093810383.jpg
    uploadfromtaptalk1370093810383.jpg
    121.2 KB · Views: 92
  • uploadfromtaptalk1370093850777.jpg
    uploadfromtaptalk1370093850777.jpg
    126.8 KB · Views: 96
  • uploadfromtaptalk1370093923965.jpg
    uploadfromtaptalk1370093923965.jpg
    62 KB · Views: 98
  • uploadfromtaptalk1370093955678.jpg
    uploadfromtaptalk1370093955678.jpg
    129.2 KB · Views: 98
  • uploadfromtaptalk1370093997424.jpg
    uploadfromtaptalk1370093997424.jpg
    132 KB · Views: 101
poleni sana, hapa kwa mikakati yenu mliua mtu, tutawaletea picha za watu watakaofika kwenye mazishi ya cowobama.


katika red hapo, mkuu ndio kuchanganyikiwa au.. Sasa hapo panahusiana nini hapa na huu uzi... Au wewe ni lesibiani, au liberali
 
naendelea kutupiamo mie mpaka magamba wanune

tupiaaaa tupiaaaaa kamanda... Magamba yanapukutika mkuu... Nasikia wanajipanga warudi hapo tena next week kufuta mistari mikali ya makamanda

watu peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....

Ukiweza tupia na makontent ya maspichi mkuu....

Wakomunist na waliberalii wako hoiiiiiiiiiiiiiiiiii, hawaamini .. Na hapo hizo kanda maalumu za maangamizi za cdm hazijaanza kufanya kazi kikamilifu... Lazima wanyooshe mikoni juu hata kama walikuwa mashujaaaaa.... Tehhhhh
 
Slaa ananukuu kauli ya Heche kwamba Kinana sio level ya Dr. Slaa, maana hata pale ITV alimkimbia. Anasema kwa hali ya sasa atajikita kuzungumzia masuala
 
Back
Top Bottom