min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,407
- 127,635
Shindiii tabia mbayaShindiii nakumanyaaa🤣🤣
Mashirima taarifa nimempa.
Shindiii tabia mbayaShindiii nakumanyaaa🤣🤣
Mashirima taarifa nimempa.
Sio unamsingizia kumbe ndio zako🤣🤣Shindiii tabia mbaya
Shindii unataka niharibia kwa mashirimaSio unamsingizia kumbe ndio zako🤣🤣
Umemtafutia sababu weeeeh!
Sio mimi shindii, ni wewe.Shindii unataka niharibia kwa mashirima
Ni wewe unampa mashirima taarifa za uongoSio mimi shindii, ni wewe.
Mie nimekuta anazo taarifa kibaaao, tena ndio akanijuza zaidi🤣Ni wewe unampa mashirima taarifa za uongo
😅mashirima yeye ndio anawindwaMie nimekuta anazo taarifa kibaaao, tena ndio akanijuza zaidi🤣
Hausafishiki shindii🤣🤣😅mashirima yeye ndio anawindwa
Abee, habari yako?
Nimekuja…Ukuyee
😄❤️🌹Nimekuja…
Upo salama?😄❤️🌹
Niko poa mrembo hofu kwako.Upo salama?
All is well..Niko poa mrembo hofu kwako.
Nimefarijika mno kukuona tena jamvini.All is well..
🤣🤣🤣🤣 mkuu sasa mbona hushushi mistari?Nimefarijika mno kukuona tena jamvini.
Moyo wangu umeyeyuka kama barafu ya Mlima Meru.
Sawa sawaWeka mambo tu-update uzi.