Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,332
- 176,111
Ulipotelea wapi?My friend
Ulipotelea wapi?My friend
Wanaa utawajua tu😛
Teh teh teeeeh! Uzee sio?Nipo uzee tu!!
Polepole tu haraka haraka haina baraka bwashee 🤗Kamata moja hapo ucheze nayo kidamsee
Mambo poa kabisa, sijui weye?Mambo vipi?
Si unaona mbio za huku ngumu!!
Nakusemea kwa mashirimaa🤣Mkuu bado kabisa , ndio naangaza angaza humu bwashee 😁😁
Mashirima yupo humu haujawahi kumwona shindii?Nakusemea kwa mashirimaa🤣
Kila siku nakuona na mashirimaa mpya🙆♂️🙆♂️Mashirima yupo humu haujawahi kumwona shindii?