Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Bado sana mkuu
Nilikua na kalkuleti umri wa Uzi huu miaka 15 sio mchezo, wengi wameshaishia njiani wameachana. No wakati wangu na Mimi sasa nipate sampuli moja saafi humu ndani 😅😅
 
Na mimi sasa naingia dimbani, sasa nipate mmoja, anayejielewa vizuri, walau tupate muda wa lunch ya pamoja, tufahamiane na kuwa “good friends “ kabla ya kuzungumza ya kuzijenga kesho zetu!

Ukiwa na mtoto mmoja hivi sio mbayaaa!
 
Nikinywa maji nakuona kwenye glass...

ujue mpenzi siwezi ishi bila wewe🤣

2 line za 🔥🔥

#1980
 
Back
Top Bottom