issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,742
- 12,362
Wee nae ulikuw wapi siku zote hizo
Wee nae ulikuw wapi siku zote hizo
Mamb mshangazi 😌
😂😂Tumuache tuuPole mdau, nani huyo anakimbia pesa?
tunafanyaje sasa Dah! mtoto alikuwa mpole yuleeAisee.
Atakuwa amekuwa m'bibi tayari!!
Kusaka maokoto, si unajua kitaa kigumu.Wee nae ulikuw wapi siku zote hizo
Poaa!!Mamb mshangazi![]()
Vipi mzimaPoaa!!
Mpenzi wangu Madame B💖❤️🔥💔💔🩶Bee my bebe wangu....
Hapana, ni mpenzi wangu kitambo sana.Penzi jipya
Asante sana kipenzi changu.Mpenzi wangu Madame B💖❤️🔥💔💔🩶
Leo ni Siku ya Wanawake, na ninataka ujue jinsi ulivyo wa thamani maishani mwangu. Wewe ni mwanamke mwenye nguvu, uvumilivu, na upendo usio na kifani. Kila siku, unanipa sababu ya kushukuru na kujivunia kuwa nawe.
Ninakutakia siku yenye furaha, upendo, na mafanikio tele. Ustahili heshima na shukrani si leo tu, bali kila siku.
Nakupenda sana Madame B 💘💝💗💞
Asante sana kipenzi changu.
Nakupenda pia baba mtoto wangu.
Sina usemi juu yako, na unajua ni jinsi gani nakupenda wewe tu.
Nilikupenda jana, nakupenda leo na nitaendelea kukupenda milele mpenzi wangu wa moyo.
Nakupenda sana, kuliko unavyodhani na kufikiri na sidhani kama kuna mtu ataweza kunitenganisha nawewe mpenzi wangu.
Nina mengi ya kuandika hapa, ila nakua wajua jinsi ninavyokupenda na kulinda penzi letu.
I love you PSL god ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️