cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Kwa kweliiukweli ndo huo naanzaje kubeba watu siwajui hata wanafananaje km majini je?
Unataka wakaninyonye damu?






Kwa kweliiukweli ndo huo naanzaje kubeba watu siwajui hata wanafananaje km majini je?
Unataka wakaninyonye damu?






Nampenda fake pD@rl!n na yeye ukamzamia kuomba utelezi, mzee huridhiki?
😂😂😂 kijana ananitaka km anaagiza bolt eti!!
Uswazi na waswazi 😂😂😂Ilaa JF kuna nyuzi zipo kunjegeshesha wajaa,
Nimecheka had mbavu zinaumaa, hizi Comments ni buza kwa mama kibonge kabisaa.
Uswaaziiiii woyeeeeee!!![]()
😂😂😂 ncheke miePoaaa shostieee!!
😂😂😂 nimeona hadi shem kalike uduguuNshaolewa shoga angu, hapa nilipo mjamzito,
Andaa babee shower mam mkubwaaa!!!
![]()
😂😂😂 uduguuuShogaaa angu punguza kichumvii.
Andaa babee shower, mam mkubwaa huna jambo dogoo.
Weraaaaaah.
Nyamwi atulie watu tule ubuyu hapa 😂😂😂Katume kulee kulee bhanaa, huku hatutaki watu wakwaruanee.
Huu uzi ni ni heka heka za ubuyuu na uswazii Newzz!!
![]()
Nyamwi codes nyepesi ile sema y’a moto sana JF ina hekaheka nyingi.! 😂😂😂Nimependa ubuyu wenu WA Jana..unakuja halafu unapotea ila utakuja 😂😂 tuu inshallah
Sijui kafeli wapi huyu kufungua codes 😂😂😂Dear!! Mbona ubuyuuu lainii vilee, afu codes nyepesiii, uzito unauletaa weyeeeeeh.
Changamkaa bhanaa, wee mjanjaa ujue, mambo madogo.kwako hayaa.
![]()
Mamkubwa nipo Sina baya miyee.!! 😂😂😂Watu na mam mkubwaaa waooo, weraaaaaaaah!!!
![]()
Woyoooooooooooo!!!Mamkubwa nipo Sina baya miyee.!!
Hapa nasubiri kulea katoto
Akiwa wa kike apewe jina langu cute





JF y’a maubuyu na maudambwi dambwi haipoi haiboi 😂😂😂Leo JF imefungukajee hata, ni heka heka mwaaa mwiiii.
![]()
Ubuyuuu tuko nao na tunatambaa nao.Nyamwi atulie watu tule ubuyu hapa![]()






Majini wengi ni kukaa kimasta 😂😂😂Kwa kwelii![]()
Sanaaaaa uduguuuJF y’a maubuyu na maudambwi dambwi haipoi haiboi
Pameanza kuchangamka





Shem nimeona uwepo wako nakusalimia 😂😂😂Woyoooooooooooo!!!![]()