Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Hiyo avatar yangu kuna rafiki yangu aliniambiaga nitabasamu ili anichore, alinichora akanitoa kama nilivyo nikaipenda sana hii picha ndo kisa cha kuiweka kwenye avatar yangu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hah kumbe avatar za humu CIO fake kama yko??na huo mbichwa wko nimekupenda ghafla kumbe ndo ulivyo!!
![]()
![]()
![]()
![]()

