carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Nakuona ujue??Ok my love.
Nipo nakusubiri.
Me namwangalia tu,we muacheWe carbamazepine njoo ujionee mwenyewe
Bahati gani?Kuna watu wana bahati
Poa kwemaMpenzi mambo
Wanaume wengi ukiwaomba pesa maneno mengi balaa. Page ya 27 kampesa bado kepesi.
Tuma account nikutunishe mimi.
joto limezidi etii ,,,mbanano sanaKupendwa akitulia tu anawewe daimaBahati gani?
Hapana bae ni charity tu mama![]()
joto limezidi etii ,,,mbanano sana
Njoo kwangu?uzi kama huu watu kama mimi yatupasa kubaki watizamaji tu
Dah mkuu nimekuendelezea uzi wako banaOoh...
Sawa sawa.
wameunganisha uzi mkuuuLive streaming...