Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,512
- 94,646
Naona tayari tushakuwa wapenzi, siku hizi kutongozana rahisi sanaMorning mpenz mamboo
Naona tayari tushakuwa wapenzi, siku hizi kutongozana rahisi sanaMorning mpenz mamboo
Naona tayari tushakuwa wapenzi, siku hizi kutongozana rahisi sana
Aku!sasa kukuita mpenzi tu ushafika mbali hivyo. Rafiki mpenzi, mama naye n mpenzi. Wewe ni mpenzi wangu au vipi!
Kwani nini?
Una Visa sana we mchagaUnafufah nn
Una Visa sana we mchaga
Sijafukua mimi wala
Sent using Jamii Forums mobile app