Sijui na mimi nijaribu kupata wa kupiga nae sogo humu jf??? naona nina miaka 10 yakusoma humu na tisa tangu nijiunge, labda itakuwa game nzuri nikijaribu.
Umenikumbusha kitu.
Mwalimu mwenzangu alienda kwa mganga kutaka dawa ili aolewe.
Wiki iliyopita kaniletea kadi ya mchango, kuangalia...kumbe anaolewa na mtoto wa yule mganga aliyeenda kwake kuomba dawa.
Nikajisemea kimoyomoyo, 'ashachezewa shere'
Sijui na mimi nijaribu kupata wa kupiga nae sogo humu jf??? naona nina miaka 10 yakusoma humu na tisa tangu nijiunge, labda itakuwa game nzuri nikijaribu.