Kaja na mimi mjini, kanitelekeza wakati babu alisema tukija Dar tusiachane.
Mapenzi haya yako ICU yanatafuta wa kumfia mikononi mwenzio.
We kama unamjua mganga mkali nipeleke.