Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

[emoji1] [emoji1] mimi niko huku nanjilinji hapa karibu kabisa na kwa akina Harmo huko Sinza sipajui,
sio siri Mti wa Ajabu ni kwa heshima tu ya ndugu yangu Kidudu ila hapa mapinduzi yalikuwa yanahusika sana sasa mi najua haukosi hata mdogo wako hebu fanya fanya mambo basi [emoji86]
Msalimie mama konde(harmo)hayo mapinduzi ya jamii frm au ya zanzibar?ht uko ntwara mbona wapo maan wameenea kote
 
Mama salamu ntamfikishia pia kumueleza kijana wake siku hizi anasuka .Tatizo ni utofauti kati ya" ntu na ntu" we unajua [emoji1] haya mapinduzi ya JF ila ni mapinduzi hewa mkuu Kidudu na muheshimu sana yeye" hajaribiwi" japo na mimi ni Nna ka UmanFongo a.ka panga boi ya helicopter weka mbali na mti wa ajabu
 
Hahahaha sawa sina neno
 
Duh mkuu unakaba mpaka penalty, huna uwezo wa kuibua vipaji vingine?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana mkuu lengo sio kukuharibia ila kama ana mdogo wake au rafiki yake basi ndio nilikuwa namaanisha aniweke huko[emoji23] [emoji23] hatari sana (In Sheikh Kipozeo Vioce)[emoji86]
 
Hahhahahahaaaa. Mizigo mikubwa mikubwa shekhe
 
Back
Top Bottom