Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Wajameni na mie nataka kiburudisho sijafanya mazoezi ya kiuno longiii [emoji74]

Mdada 18+ ebu jitokezeee.....tuijenge Tz ya viwanda tufyatue maisha yaendelee
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hahaha ntakuta talaka mlangoni afu tatizo nilishajaribu kumcheat lililonipata siri yangu,sirudii tena hapa nimeoza.
Ngoja nikutafutie mdada wako peke yako uache kudandia wake za watu
Missed u [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Hahahah itabid uniandalie jioni now naenda kwenye mihangaiko,uniandalie shv kweli unipend wewe mda wote ulikuw unafany nn?
Siku ya leo nzuri sana, siku zote nnilikaa nichunguze tabia. Ok mamaa, kachakarike tuyajenge maana Magufuli huyu watoto wanaweza kukosa unga.

Watu wakikukodolea weka bandiko mgongoni kuwa "the pot is taken already"
 
Okkkk kumbe ni live...Bas akuje mdada mmoja kwa PM,age below 25....Nasisi tuondoe huu upweke!
 
[emoji74] [emoji74] so kuna nini hapa ndugu yangu Mti wa ajabu fanya kama unanielekeza mi mgeni maeneo haya
Mkuu inaonekana una nyota ya wizi. Yaani unaonge na kutaka kuniibia live live? Tafuta wa kwako bwana acha utoto. Alaaaa
 
Mkuu inaonekana una nyota ya wizi. Yaani unaonge na kutaka kuniibia live live? Tafuta wa kwako bwana acha utoto. Alaaaa
[emoji74] [emoji74] [emoji74] usiogope mkuu kuhusu wizi sisi wavaa mashati ya kijani ndio zetu ila nakuheshimu siwezi kukuibia hahaha
 
Back
Top Bottom