Haha poapoa mkuu usijali kabisa wasalimie sana PyongyangHaya mambo unatakiwa uwaulize akina lara 1 siyo mchumba wangu jaman. Kwanza na yeye ni mgeni nimemuibua mbali sana
Zimefika mkuu. Sasa naweza kufanya kazi kwa amani maana ulitaka kunitoa roho cc mti wa ajabuHaha poapoa mkuu usijali kabisa wasalimie sana Pyongyang
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amani [emoji120]Zimefika mkuu. Sasa naweza kufanya kazi kwa amani maana ulitaka kunitoa roho
huku kwetu gharama yako ni detol tu.siwezi kuandikia mate wakati wino upo,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukipata hiyo usisite kuleta mrejeshowabongo wanasema "ukitaka kizuri lazima udhurike" mi ndo ninataka hao wabeibe wazuri sina jinsi lazima nigharamie,
kwa nini ule samaki kwa picha na ndoano unayo?
Hahahaha,usiogope mkuu ila kuwa tu makini.duuuh! maneno yako yana mantiki,
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukipata hiyo usisite kuleta mrejeshoView attachment 385692
Mh mbona haurudi mamito? Nijitahid kuendelea kusubiri labda maana hii mihangaiko ya mjini itanivunjia ndoaHahahah itabid uniandalie jioni now naenda kwenye mihangaiko,uniandalie shv kweli unipend wewe mda wote ulikuw unafany nn?
Am back baba,niambie mamboMh mbona haurudi mamito? Nijitahid kuendelea kusubiri labda maana hii mihangaiko ya mjini itanivunjia ndoa
we nenda utajionea mwenyew kila aina ya sampuli[emoji74] [emoji74] so kuna nini hapa ndugu yangu Mti wa ajabu fanya kama unanielekeza mi mgeni maeneo haya
MkUu ina maan wewe umevuka 30,au mteremko una husika?Mdada 30 yrs karibu PM
am 30 yrs wala sijihitaji mteremko ajira nnayoM
MkUu ina maan wewe umevuka 30,au mteremko una husika?
Nilitoa thread yangu humu watu wakasema mimi mzee kisa foleni iliyokuwepo,aya leo niweka nusu picha yang wanione kweli mimi bibi?
[emoji1] [emoji1] mimi niko huku nanjilinji hapa karibu kabisa na kwa akina Harmo huko Sinza sipajui,We nenda
we nenda utajionea mwenyew kila aina ya sampuli