Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Kama wewe ni mke wa mtu, unafanya nini huku kwenye mtongozo? Mungu siyo Shansarie nitakupata tu! [emoji1]
Kwanibumeona nikimtongoza mtu. Msg zote hizi ushangai sijatongozwa wenzio wanajua nimekamatika na mwenye huu uzi ndo mhusika[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kwanibumeona nikimtongoza mtu. Msg zote hizi ushangai sijatongozwa wenzio wanajua nimekamatika na mwenye huu uzi ndo mhusika[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Looooh!!! Wewe ni wa tisa kuniambia kuwa umekamatika na mwenye uzi huu!.....inaonekana mwenye uzi huu ana michepuko mingi sana!! [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom