Mie niko poa, hata sijui wamefukiwa wapi aisee.
Me hata sipo pouwahMie niko poa, hata sijui wamefukiwa wapi aisee.
Hahahaaaa! Vipi umenimiss?Me hata sipo pouwah
Bahati nzuri ni kuwa vile unavyomaanisha huwa husemi, yupo likizo my kaka.
Hahaha unavyopenda kumissiwa, utadhani kumissiwa ndo kupewa hela khaaa. Em kamlaze kijacho hukoBahati nzuri ni kuwa vile unavyomaanisha huwa husemi, yupo likizo my kaka.
Am waitingI will see u soon.
Tatizo lako ukinimiss huniambiiHahaha unavyopenda kumissiwa, utadhani kumissiwa ndo kupewa hela khaaa. Em kamlaze kijacho huko
Unamuulizia wa nini, nimekusoma sana eti soon unafile divorce mfyuuuTatizo lako ukinimiss huniambii![]()
![]()
Hivi baba yako yuki wapi?
Mtoto mbea wewe!! Vingine hutakiwi hata kusoma ala!!Unamuulizia wa nini, nimekusoma sana eti soon unafile divorce mfyuuu
Sio kosa langu, ni mkoa niliozaliwaMtoto mbea wewe!! Vingine hutakiwi hata kusoma ala!!

Ukifanikiwa unipe mrejesho Window7Kila nikirusha jiwe kwenye hii thread natoka holaaa...! Ngoja nifuate mzizi kwa Mshana Jr.
Najiuliza sana ila sipati jibu Karucee....lol. Ni Avatar tu imewakimbiza warembo ama kuna mengine?