Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Said toa mjeresho wa huu mtongozo

hahaha....mchakato unaendelea, namalizia upembuzi yakimifu ili niunde kamati ya kisekta ili ikae na kuniletea mpango kazi hapo sasa ntatoa hadidu za rejea kwa kamati ili tupate mhuktasari ambao utaendana na mpango kamambe wa biaraeni.....hahaha!
 
Back
Top Bottom