Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Imebidi niurudie huu Uzi ukurasa wa kwanza maana nilikuwa Kama vile nimeuvaamia!!
Sasa nimeuelewa. kiwatengu itabidi kuwe na Uzi mpya au update huu maana inaonekana umebezi mapenzi 2014.

Pia nimegundua Kim Nana yupo single japo kimya Sana hadi nahisi labda sheria imemchukua. Ingekuwa vema mkishatongozana mkakubaliana basi mtoke humu au mbakie Kama watoa Msaada.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu huu uzi, unagoma kupokea mabadiliko.
kuna mabadiliko machache tu!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom