Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

teh teh...
tatizo madafu ya kisarawe yanamchanganya sana kabanga.
Tatizo kaka majukumu ya kutumbua majipu ilikuwa balaa, tunasahau hadi ya jamii
Aaaah kabanga mzushi, nimemfukuzia weeee hata hajiongezi.
atoto kweli sijiongezi....?
Nimemfuma mahali anamuomba nanilio cute b hata sina hamu nae tena!
Kweli ulinifuma....? mbona hukunishitua...?
teh teh....hakushtuka?
sijamuona mie...
 
Last edited by a moderator:
Tatizo kaka majukumu ya kutumbua majipu ilikuwa balaa, tunasahau hadi ya jamii
atoto kweli sijiongezi....?

Kweli ulinifuma....? mbona hukunishitua...?

sijamuona mie...

Mmmh! Nilikustua ukauchuna km sio wewe!
 
Last edited by a moderator:
ngoja na mimi nijaribu bahati yangu my name is my name njo huku tulijenge
 
Back
Top Bottom