Chezea
Manga ML wewe? Kanituliza haswaaa, ana kila sifa ya kuitwa "mwanaume" na "mume", nihangaike kutafuta nini wakati napata kila nikitakacho? Kila nilichokuwa nakitafuta nimekipata kwa kipenzi cha moyo wangu my [MENTION=155213]Manga
Na mimi uminituliza nipo nyang'anyang'juu juu yako kwa mahaba yako