Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Dear naomba nichague niwe bodyguard wako kwa kipindi hiki,yaani nitakulinda vizuri sana halafu hata hela sitaki!

Mie nina bodigadi wa kimataifa wax mwenyewe, ananitoshaaaaa.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: wax
Mie nina bodigadi wa kimataifa wax mwenyewe, ananitoshaaaaa.

Huyo mda mwingine hadi wiki inapita hayupo na wewe,mimi nipo na wewe saa zote,ki ukweli nafaa sana, halafu sasa hata mshahara sitaki dear,yaani mimi nakulinda tu bure fulani hivi!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyo mda mwingine hadi wiki inapita hayupo na wewe,mimi nipo na wewe saa zote,ki ukweli nafaa sana, halafu sasa hata mshahara sitaki dear,yaani mimi nakulinda tu bure fulani hivi!!!

Dogo utashikishwa ukuta!! Shaurilo.
 
Huyo mda mwingine hadi wiki inapita hayupo na wewe,mimi nipo na wewe saa zote,ki ukweli nafaa sana, halafu sasa hata mshahara sitaki dear,yaani mimi nakulinda tu bure fulani hivi!!!

Yaani ww unatafuta matatizo aise ebu achana na huyo mrembo wangu tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…