kiwatengu nia yako ovu ya kuvunja mahusiano yangu nilishakukataza husikii.
Narudia tena, mimi ni mpenzi halali wa
Mdakuzi. ..huyu ndiye haswa mmiliki wa
nifah.
Labda kama ni utani tu, hata hivyo utani huu ni mbaya na haujengi picha nzuri kwa wapenzi walioko serious kama sisi.