Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Jul 13, 2015 #7,361 aretaskimario said: Sasa nikimuomba wakufanana na mimi huoni kuwa tutafanya ile kitu ambayo rais Obama anaipigia upatu?. Click to expand... Tatizo lako maandiko yanakupiga chenga!! Haya endelea kumlilia cecilia
aretaskimario said: Sasa nikimuomba wakufanana na mimi huoni kuwa tutafanya ile kitu ambayo rais Obama anaipigia upatu?. Click to expand... Tatizo lako maandiko yanakupiga chenga!! Haya endelea kumlilia cecilia
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jul 13, 2015 #7,362 atoto said: Hivi we mtoto unalalaga saa ngapi? Click to expand... Nalalaga mapema sana ila naamka saa 11 hahahaaa
atoto said: Hivi we mtoto unalalaga saa ngapi? Click to expand... Nalalaga mapema sana ila naamka saa 11 hahahaaa
aretaskimario JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 527 Reaction score 248 Jul 13, 2015 #7,363 atoto said: Tatizo lako maandiko yanakupiga chenga!! Haya endelea kumlilia cecilia Click to expand... Naomba bas uniconnect na cesilia maana wewe namjua mumeo. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
atoto said: Tatizo lako maandiko yanakupiga chenga!! Haya endelea kumlilia cecilia Click to expand... Naomba bas uniconnect na cesilia maana wewe namjua mumeo.
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jul 13, 2015 #7,364 ksaid said: cute b said: Wew unataka? Click to expand... Yah nataka ila usiwe na mwengine Click to expand... Hahahaaaa Mie ninaye mkuu....
ksaid said: cute b said: Wew unataka? Click to expand... Yah nataka ila usiwe na mwengine Click to expand... Hahahaaaa Mie ninaye mkuu....
Warren.T JF-Expert Member Joined May 3, 2015 Posts 900 Reaction score 318 Jul 13, 2015 #7,365 Kuna mtu nimemwita huku tangia jana,mbona haji jamani!....mimi hali yangu inazidi kuwa mbaya,close to me please! Preta Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kuna mtu nimemwita huku tangia jana,mbona haji jamani!....mimi hali yangu inazidi kuwa mbaya,close to me please! Preta
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Jul 13, 2015 #7,366 kiwatengu said: ni mke wa Capt Nemo.. kama ulivyo wewe na miss chagga!! Click to expand... duh aiseee
kiwatengu said: ni mke wa Capt Nemo.. kama ulivyo wewe na miss chagga!! Click to expand... duh aiseee
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Jul 13, 2015 #7,367 aretaskimario said: Naomba bas uniconnect na cesilia maana wewe namjua mumeo. Click to expand... We mwanaume bwana, mie ukuwadi hata siuwezi, ngoja kiwatengu ndio kuwadi mzoefu atakuunganisha Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
aretaskimario said: Naomba bas uniconnect na cesilia maana wewe namjua mumeo. Click to expand... We mwanaume bwana, mie ukuwadi hata siuwezi, ngoja kiwatengu ndio kuwadi mzoefu atakuunganisha
aretaskimario JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 527 Reaction score 248 Jul 13, 2015 #7,368 atoto said: We mwanaume bwana, mie ukuwadi hata siuwezi, ngoja kiwatengu ndio kuwadi mzoefu atakuunganisha Click to expand... Unamwambia kuwa mimi ni mtoto wa magufuli Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
atoto said: We mwanaume bwana, mie ukuwadi hata siuwezi, ngoja kiwatengu ndio kuwadi mzoefu atakuunganisha Click to expand... Unamwambia kuwa mimi ni mtoto wa magufuli
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jul 13, 2015 #7,369 aretaskimario said: Unamwambia kuwa mimi ni mtoto wa magufuli Click to expand... Hahahaaaaa umetishaaa
aretaskimario said: Unamwambia kuwa mimi ni mtoto wa magufuli Click to expand... Hahahaaaaa umetishaaa
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Jul 13, 2015 #7,370 aretaskimario said: Unamwambia kuwa mimi ni mtoto wa magufuli Click to expand... Hahahaa! Mie huwa sidanganyi, so kamdanganye mwenyewe.
aretaskimario said: Unamwambia kuwa mimi ni mtoto wa magufuli Click to expand... Hahahaa! Mie huwa sidanganyi, so kamdanganye mwenyewe.
aretaskimario JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 527 Reaction score 248 Jul 13, 2015 #7,371 cute b said: Hahahaaaaa umetishaaa Click to expand... hah? cuteeeeeeeee sijatisha nikweli 😛 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
aretaskimario JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 527 Reaction score 248 Jul 13, 2015 #7,372 atoto said: Hahahaa! Mie huwa sidanganyi, so kamdanganye mwenyewe. Click to expand... Ngoja nikaoge na magadi usipoona nikampata
atoto said: Hahahaa! Mie huwa sidanganyi, so kamdanganye mwenyewe. Click to expand... Ngoja nikaoge na magadi usipoona nikampata
aretaskimario JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 527 Reaction score 248 Jul 13, 2015 #7,373 Lakini tuacheni utani mimi nataka mdada anitongoze.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Jul 13, 2015 #7,374 aretaskimario said: Ngoja nikaoge na magadi usipoona nikampata Click to expand... Kila la kheri, utuletee tu mrejesho. aretaskimario said: Lakini tuacheni utani mimi nataka mdada anitongoze. Click to expand... Hebu toa sifa zako sasa, unamiliki mali zipi na ngapi nchi hii, sio unamiliki dushe tu alafu unasubiri kutongozwa.
aretaskimario said: Ngoja nikaoge na magadi usipoona nikampata Click to expand... Kila la kheri, utuletee tu mrejesho. aretaskimario said: Lakini tuacheni utani mimi nataka mdada anitongoze. Click to expand... Hebu toa sifa zako sasa, unamiliki mali zipi na ngapi nchi hii, sio unamiliki dushe tu alafu unasubiri kutongozwa.
aretaskimario JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 527 Reaction score 248 Jul 13, 2015 #7,375 atoto said: Kila la kheri, utuletee tu mrejesho. Hebu toa sifa zako sasa, unamiliki mali zipi na ngapi nchi hii, sio unamiliki dushe tu alafu unasubiri kutongozwa. Click to expand... Mimi ni mangi maduka ndio yapo tu ya kutosha. Lakini mbona mimi nilikuwa nataka hata ambaye hana kitu isipokuwa awe na utamu wake tu?
atoto said: Kila la kheri, utuletee tu mrejesho. Hebu toa sifa zako sasa, unamiliki mali zipi na ngapi nchi hii, sio unamiliki dushe tu alafu unasubiri kutongozwa. Click to expand... Mimi ni mangi maduka ndio yapo tu ya kutosha. Lakini mbona mimi nilikuwa nataka hata ambaye hana kitu isipokuwa awe na utamu wake tu?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Jul 13, 2015 #7,376 aretaskimario said: Mimi ni mangi maduka ndio yapo tu ya kutosha. Lakini mbona mimi nilikuwa nataka hata ambaye hana kitu isipokuwa awe na utamu wake tu? Click to expand... Ndivyo inavyotakiwa, mwanaume unataka mwenye kitu ili iwe nini?? Okey kilalakheri, watajitokeza, endelea kusubiri.
aretaskimario said: Mimi ni mangi maduka ndio yapo tu ya kutosha. Lakini mbona mimi nilikuwa nataka hata ambaye hana kitu isipokuwa awe na utamu wake tu? Click to expand... Ndivyo inavyotakiwa, mwanaume unataka mwenye kitu ili iwe nini?? Okey kilalakheri, watajitokeza, endelea kusubiri.
aretaskimario JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 527 Reaction score 248 Jul 13, 2015 #7,377 atoto said: Ndivyo inavyotakiwa, mwanaume unataka mwenye kitu ili iwe nini?? Okey kilalakheri, watajitokeza, endelea kusubiri. Click to expand... Kwani kama sina kitu huwezi kunioa?
atoto said: Ndivyo inavyotakiwa, mwanaume unataka mwenye kitu ili iwe nini?? Okey kilalakheri, watajitokeza, endelea kusubiri. Click to expand... Kwani kama sina kitu huwezi kunioa?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Jul 13, 2015 #7,378 aretaskimario said: Kwani kama sina kitu huwezi kunioa? Click to expand... Subiri tu utaolewa waoaji wapo wengi tu.
aretaskimario said: Kwani kama sina kitu huwezi kunioa? Click to expand... Subiri tu utaolewa waoaji wapo wengi tu.
aretaskimario JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 527 Reaction score 248 Jul 13, 2015 #7,379 atoto said: Subiri tu utaolewa waoaji wapo wengi tu. Click to expand... Nataka wewe unioe
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jul 13, 2015 #7,380 aretaskimario said: Lakini tuacheni utani mimi nataka mdada anitongoze. Click to expand... Nipe hela mimi nikushushie mistali mpaka uvue boxer mwenyewe..
aretaskimario said: Lakini tuacheni utani mimi nataka mdada anitongoze. Click to expand... Nipe hela mimi nikushushie mistali mpaka uvue boxer mwenyewe..