Live Rais Samia: Salaam za Mwaka Mpya

Live Rais Samia: Salaam za Mwaka Mpya

Haya mnayo sema jamani si sawa.
Jitafakari wewe hunakosa ulofanya upo safi kabisa.
Watu wanapo nadia mwizi na watu wakatoka kwenda kumpiga na kumchoma moto hamuoni kama ukatili gani huo mnao fanya.
LKwani mama wahuyo mwizi haumii au haumii?

Yupo mtanzania gani alokuwa msafi hana kosa lajinai la kubaka lakuiba kuchukuwa mke au mume wamtu au mtoto wa mtu.

Sote tuna dhambi mola atusamehe.
Na mola hawezi kukusamehe kama wewe huwi mwepesi wa kusamehe.

Kuuwana kugombana na kuchukiana kumeanza zamani kote duniani.
Lakini makubaliano maridhiano na kusameheana ndio zilo leta maendeleo.
Tuondoshe chuki na tusameheane ili tupate kusonga mbele.
Mungu Tusaidie kutia upendo furaha maridhiano na misamaha katika nyoyo zetu.

Barka za mwaka mpoya zikujieni nyote
Ameen
Ndugu zetu waliokufa walifuatwa majumbani kwa kuchomeshwa na wajumbe wa CCM, wakauwawa na wakazikwa na hawakushiriki maandamano

Huyu Samia afe tu, kwanza fisadi na hizi na liuaji
 
Wanabodi

Rais wa JMT, Samia Suluhu Hassan, yuko hewani live mubashara, kuhutubia taifa kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026

View: https://www.youtube.com/live/nNvsNM8Esw8?si=PVpOlaVydbZ45elx

Karibuni
Na sababu leo ndio mwisho wa mwaka, hakuna ubaya na mimi nikiweka salaam zangu za mwaka mpya.

Happy New Year!
Paskali
Kufuatia ujio wa fani ya uchawa, ukimtaja tuu Rais Samia kwa jambo lolote, unaitwa chawa wa mama,
Naomba ku declare interest
Rejea za mtoa mada kuhusu Rais Samia kabla hata hajawa Rais wa JMT. Tulianza nae toka 2010
  1. New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!
  2. Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020
  3. Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?
  4. Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?
  5. "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
  6. Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
  7. Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?

Siyo rais maana hakuchaguliwa
 
salaam kutoka kwa shetani...
 
Hakika tunaomba laana ya Mungu wa haki ikakae juu ya kichwa cha mtu huyu aliyeamrisha mauaji makubwa ya ajabu kwa Watanganyika kwa ulafi wa madaraka. Ni aheri nchi iongozwe na sungusungu mwenye ubinadamu kuliko na muuaji. Hatumchukii kama mwanadamu mwenzetu, bali kwa matendo yake ya kishetani, yaliyokosa hekima, utashi, huruma na ubinadamu kwa wanadamu wenzake. Ukatoli ni kukosa akili na hekima.
 
Wanabodi

Rais wa JMT, Samia Suluhu Hassan, yuko hewani live mubashara, kuhutubia taifa kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026

View: https://www.youtube.com/live/nNvsNM8Esw8?si=PVpOlaVydbZ45elx

Karibuni
Na sababu leo ndio mwisho wa mwaka, hakuna ubaya na mimi nikiweka salaam zangu za mwaka mpya.

Happy New Year!
Paskali
Kufuatia ujio wa fani ya uchawa, ukimtaja tuu Rais Samia kwa jambo lolote, unaitwa chawa wa mama,
Naomba ku declare interest
Rejea za mtoa mada kuhusu Rais Samia kabla hata hajawa Rais wa JMT. Tulianza nae toka 2010
  1. New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!
  2. Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020
  3. Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?
  4. Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?
  5. "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
  6. Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
  7. Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?

Bro huna bahati

Bro huna bahati na uchawa ivyo tu sana sana unawatafutia kutekwa sijui watu wakiumia unapata nini
 
Arekebishe hotuba yake aseme mwaka 2026, genge la wahuni wataendelea kuteka watu na kupora rasilimali za nchi na kuendelea kukamata wapinzani
 
Back
Top Bottom