Live Rais Samia: Salaam za Mwaka Mpya

Live Rais Samia: Salaam za Mwaka Mpya

Lissu kakukomesha ndiyo maana una hasira. Utapeli wako wa miaka zaidi ya ishirini ulifikia ukingoni kwa aiabu kubwa.
Kijana huu sio muda wa mipasho! Mlichukua chama kwa mihemuko mikali ya kuleta mabadiliko sijui mmetapeliwa muda mrefu na fitina nyingi sana!

Huu ni muda wa kuyaweka into action yale mliyohubiri maana hizi fitina zako kwa sasa hazisaidii chochote.
 
Wanabodi

Rais wa JMT, Samia Suluhu Hassan, yuko hewani live mubashara, kuhutubia taifa kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026

View: https://www.youtube.com/live/nNvsNM8Esw8?si=PVpOlaVydbZ45elx

Karibuni
Na sababu leo ndio mwisho wa mwaka, hakuna ubaya na mimi nikiweka salaam zangu za mwaka mpya.

Happy New Year!
Paskali
Kufuatia ujio wa fani ya uchawa, ukimtaja tuu Rais Samia kwa jambo lolote, unaitwa chawa wa mama,
Naomba ku declare interest
Rejea za mtoa mada kuhusu Rais Samia kabla hata hajawa Rais wa JMT. Tulianza nae toka 2010
  1. New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!
  2. Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020
  3. Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?
  4. Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?
  5. "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
  6. Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
  7. Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?

ukifuatilia ww na familia yako inatosha
 
Kijana huu sio muda wa mipasho! Mlichukua chama kwa mihemuko mikali ya kuleta mabadiliko sijui mmetapeliwa muda mrefu na fitina nyingi sana!

Huu ni muda wa kuyaweka into action yale mliyohubiri maana hizi fitina zako kwa sasa hazisaidii chochote.
Wewe Mbowe sikiliza. Lissu ni kiboko yako na ataendelea kuwa kiboko yako
 
Hana jipya huyu kimama,sijajua malaika mtoa roho anafanya kazi gani,huyu jini mnyonya damu hakupaswa hata kuiona 2026 hata kwa dakika Moja.

Damu za watu 10,000 zimuandame yeye na uzao wake

Hizo salamu za mwaka mpya akawape watoto wake na mume wake. Watanzania wapi hao ambao anawahutubia wakati walimukataa kwenye sanduku la kura na kuamua kuwauwa.
Kelele za chura hizo...
 

Attachments

  • 20251113_220421.jpg
    20251113_220421.jpg
    56.6 KB · Views: 13
  • Screenshot_20251029-213246_Gallery.jpg
    Screenshot_20251029-213246_Gallery.jpg
    192.8 KB · Views: 11
  • Screenshot_20251029-194431_Gallery.jpg
    Screenshot_20251029-194431_Gallery.jpg
    114.1 KB · Views: 10
Huyu Bibi Shetani afe tu, Hana mvuto tena tukimuona anatutonesha vidonda vyetu kwa kuwaua Ndugu zetu na kawafukia kibabe.

MUNGU tunakuomba January isiishe huyu akalale mahala stahili, MUNGU ukaonekane maana wewe husimama na wanaonewa.
Haya mnayo sema jamani si sawa.
Jitafakari wewe hunakosa ulofanya upo safi kabisa.
Watu wanapo nadia mwizi na watu wakatoka kwenda kumpiga na kumchoma moto hamuoni kama ukatili gani huo mnao fanya.
LKwani mama wahuyo mwizi haumii au haumii?

Yupo mtanzania gani alokuwa msafi hana kosa lajinai la kubaka lakuiba kuchukuwa mke au mume wamtu au mtoto wa mtu.

Sote tuna dhambi mola atusamehe.
Na mola hawezi kukusamehe kama wewe huwi mwepesi wa kusamehe.

Kuuwana kugombana na kuchukiana kumeanza zamani kote duniani.
Lakini makubaliano maridhiano na kusameheana ndio zilo leta maendeleo.
Tuondoshe chuki na tusameheane ili tupate kusonga mbele.
Mungu Tusaidie kutia upendo furaha maridhiano na misamaha katika nyoyo zetu.

Barka za mwaka mpoya zikujieni nyote
Ameen
 
Back
Top Bottom