Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

Status
Not open for further replies.
Wakuu sikuwa katika nafasi nzuri ya kuangalia kipindi cha leo kutokana na majukumu japo naona ma-Lumumba humu JF wameanza ngebe zao. Kwa tathmini ya haraka haraka nani kamgaragaza mwenzie katika mdahalo wa leo? CDM au CCM? Na ni katika areas zipi hasa kila chama kimejipatia pointi zaidi? General appearance, confidence, and straight-to-the-point nani ka-win zaidi?

Hii kitu ni muhimu sana hasa kuelekea 2015. Usishangae kwa kipindi cha leo kila chama kikawa kimepoteza au kuingiza wanachama wapya kutokana na jinsi wawakilishi wa vyama husika walivyomudu kipindi. Midahalo inatisha hasa katika medani za kisiasa ambapo neno moja linaweza kukupotezea au kukupatia maelfu ya wananchama. Usione baadhi ya vyama vinakimbia midahalo - wanajua impacts zake hasa pale unapokuwa huna hoja za maana za kuwaambia wananchi.

kweli mkuu
 
.....

.........Medani za siasa TANZANIA...sisiemu ni creche tu!!!!!
 
.........Mzee Makamba aliona mbali wakati ule na akapiga marufuku Magamba kushiriki katika majadiliano ya ana kwa ana sababu alijua kuwa CCM wooooooote ni vichwa panzi hawana uwezo wa kutetea hoja zenye nguvu bila ya kutumia siasa za maji taka. Leo wameanza kudharau ushauri wa Makamba wakaamua kumpeleka mgonga Ulanzi kwenye mdahalo dhidi ya Dr. Slaa.

Muda si mrefu tutasikia wanagoma kushiriki katika midahalo ya aina hiyo.
 
mwendesha kipindi hawezi kubalance maswali. anamuuliza mangula maswali tofauti na ya slaa. walikua waulizwe maswali yanayo fanana ili tuweze kubalance. kipindi kimemshinda. amempa slaa muda mwingi kuliko mangula

Ulalamika lalamika ovyo kama mwanamke mjane!!
 
slaa kasema udini unavunja uzalendo. nashangaa slaa kulaani udini hali ya kuwa yeye na chdm ni wadini

Kuna mtu kanitonya (sikuuona mjadala) eti Slaa alimshutumu sijuwi nani kuwa kakoseshwa madaraka kwa mapenzi tu? yaani uzinifu.

Nauliza, alijisahau? au ndio kisa cha nyani haoni ...
 
Kuna mtu kanitonya (sikuuona mjadala) eti Slaa alimshutumu sijuwi nani kuwa kakoseshwa madaraka kwa mapenzi tu? yaani uzinifu.

Nauliza, alijisahau? au ndio kisa cha nyani haoni ...
eti mkuu wa CIA marekani.......
 
huyu mzee wanamuonea tu, no offense but siasa hizi za miaka hii haziwezi kabisa.!
Ndio maana chama kinashindwa kuwazuia akina mwigulu wanaolipasua taifa kwa maslahi yao BINAFSI.!

Chezea JK wewe! Alimmaliza alipomtoa kwenye ukatibu mkuu na alipojaribu kugombea uenyekiti wa ccm mkoani Iringa bado jk akampiga nondo ya mabega!! Hapo ndipo alipommaliza!
 
Ina maana ni kweli aliongea hilo?
aliongea hivyo. siyo siri slaa amepoteza muelekeo. babu kachoka! eti wabunge wapigane ngumi! hili ze linaitakia mabaya nchi yetu. limekaa kishari zaidi. aliulizwa. aliulizwa kuhusu siasa za chdm kuwa za kiharakati zaidi. hawaoni kuwa wanapotoka? akajibu siasa za ushindani ni vita na mapambano.....
 
Wakuu sikuwa katika nafasi nzuri ya kuangalia kipindi cha leo kutokana na majukumu japo naona ma-Lumumba humu JF wameanza ngebe zao. Kwa tathmini ya haraka haraka nani kamgaragaza mwenzie katika mdahalo wa leo? CDM au CCM? Na ni katika areas zipi hasa kila chama kimejipatia pointi zaidi? General appearance, confidence, and straight-to-the-point nani ka-win zaidi?

Hii kitu ni muhimu sana hasa kuelekea 2015. Usishangae kwa kipindi cha leo kila chama kikawa kimepoteza au kuingiza wanachama wapya kutokana na jinsi wawakilishi wa vyama husika walivyomudu kipindi. Midahalo inatisha hasa katika medani za kisiasa ambapo neno moja linaweza kukupotezea au kukupatia maelfu ya wananchama. Usione baadhi ya vyama vinakimbia midahalo - wanajua impacts zake hasa pale unapokuwa huna hoja za maana za kuwaambia wananchi.
haukua mdahalo,kipindi kimerekodiwa tofautitofauti,sehemu,mda na wakati tofauti,wamefanya kuedit ili ionekane ni mdahalo.
 
Kwanini kipindi wasikifanye live?. jamaa inabidi aboreshe sana halafu na hiyo uzalendo sio mpango sababu semonyo ana kipindi kama hiki. Hiki kilibidi kiitwe mwanasiasa wetu ili hata kama mmoja akiogopa kuja mwingine aendeleze kama kawa. Mia
 
Uwelewa wake mdogo sana
mkuu. Hajui lolote katika sentensi anachukua neno moja na kulitolea
maana. All in all Dr. Slaa is next level yaani hapa inaonekana ni watu
wawili tofauti sana. Big up CDM

100% mkuu!
Slaa ataendelea kuwakimbiza sana, mpaka ikifika 2015 wako hoi..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom