Baraka Roman
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 692
- 262
Mk kaz kwel kwel?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Katika kipindi cha Uzalendo kilichorushwa leo na ITV,Makamu Mwenyekiti wetu wa CCM Tanzania Bara,Comrade Phillip Mangula hakupewa nafasi ya kutosha. Dr.Wilbrod Slaa ndiye hasa alikuwa ndiye mgeni mlengwa wa kipindi hicho.Maswali ya kufikirisha aliulizwa Dr.Slaa. Yale ya kawaida akaulizwa Mangula.Tena,Mangula akafinyiwa muda wake wa kujibu na wakati Fulani kusahaulika katika kutupiwa swali linguine. Kwanini imefanyika hivi? ITV nao ni CHADEMA. Tujue mapema.Kuna haja kwa chama chetu cha CCM kugomea ushiriki wa vipindi kama hivi. Laasivyo, chama kitaaibika kupitia vipindi hivi vya luninga. Tusishiriki midahalo ya aina yoyote ile. Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

maneno ya busara.[/QUOTE
Vipi ben saanane mambo
una mawazo mfu...mzog@ wewe
You don't make any sense,Just go back to school and learn more english lessons to improve your english.Your cannot even make a proper english sentence!
Taratibu vidole na macho lugha ya watu hiyo jamani.
Wakati mwingine kama jambo hulielewi ni bora kukaa kimya kuliko kujifedhehesha na pengine kuwafanya wengine wakuelewe tofauti na walivyokuwa wanafikiri
Katika kipindi cha Uzalendo kilichorushwa leo na ITV,Makamu Mwenyekiti wetu wa CCM Tanzania Bara,Comrade Phillip Mangula hakupewa nafasi ya kutosha. Dr.Wilbrod Slaa ndiye hasa alikuwa ndiye mgeni mlengwa wa kipindi hicho.Maswali ya kufikirisha aliulizwa Dr.Slaa. Yale ya kawaida akaulizwa Mangula.Tena,Mangula akafinyiwa muda wake wa kujibu na wakati Fulani kusahaulika katika kutupiwa swali linguine. Kwanini imefanyika hivi? ITV nao ni CHADEMA. Tujue mapema.Kuna haja kwa chama chetu cha CCM kugomea ushiriki wa vipindi kama hivi. Laasivyo, chama kitaaibika kupitia vipindi hivi vya luninga. Tusishiriki midahalo ya aina yoyote ile. Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
du sweety, yamekuwa hayo. menyewe kwa menyewe kitu gongana. buku 7 zinawapeleka kubaya
mwanaizaya weye usiyelijua hili wala lile. Kazi kuramba mwiko kwa kutumia msongo wa pwani. Lizomeeni hiloooo
Uwelewa wake mdogo sana mkuu. Hajui lolote katika sentensi anachukua neno moja na kulitolea maana. All in all Dr. Slaa is next level yaani hapa inaonekana ni watu wawili tofauti sana. Big up CDMhili ndio tatizo letu watanzania, tunapenda sana kupotosha.!
slaa alikuwa anatoa mfano wa mabunge ya vyama vingi huko ulimwenguni yanavyoendeshwa ambapo alisema watu wanafikia hatua ya kupigana!
pia kuhusu amani amesisitiza kama ambavyo amekuwa anasisitiza kuwa AMANI haihubiriwi bali ni matunda! Na ni matunda ya HAKI.!
Tukiwa na serikali inayotenda haki, amani itakuwepo
........Kweli, viongozi wa Chadema; Lusinde na Selukamba wana asili ya matusiMkuu wao matusi ndiyo asili yao make hata viongozi wao matusi kwao ni kawaida sana.
Mangula yupo systematic!, Dr Slaa hata hamu ya kumsikiliza nimekosa.
You don't make any sense,Just go back to school and learn more english lessons to improve your english. Your cannot even make a proper english sentence!