Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

Status
Not open for further replies.
Kipindi "UZALENDO"kimeshaisha
ITV
Kila Ahamisi saa1-1:30 usiku
Tusubiri wiki ijayo kuona wengine
 
Slaa hamna kitu kabisa kichwani. Yaani anashindwa kabisa kujibu maswali. Halafu eti ana PhD.
 
Mpaka nimemuonea huruma mangula na ccm yake, hakuna ccm wala nani kwisha kila kitu
 
hivi tanzania ubunge unarithiwa siku hizi? Mi nilifikiri anachaguliwa na watanzania wa jimbo husika, labda mi sipo tanzania, kwa hiyo karatu hawakuchagua mbunge! Duh pole kaka.,, mchungaji, padre au sheikh hawastahiki kuwa wabunge?

alipoamua kugombea urais alipendekeza jina la mchungaji Israel kubeba bendera ya chdm. yeye padre kasha anampendekeza mchungaji. huo siyo udini? nimeona unafiki wa slaa alipokua anaongelea udini
 
Lile povu la slaa ndio limefunika?? Punguza mahaba ww. Mangula ndio jinsi ametulia na ni smart, sio mtu wa kukurupuka

Hebu zichukue akili zako ulizoziacha kule Lumumba ili uzitumie walau kutafakari japo najua itakuwa kazi ngumu kweli kwako kufanya hivyo halafu tuambie hivi Mangula kaongea kitu gani cha maana pale?
 
kipindi siyo cha ukweli ni recorded na inaonyesha wame edit kwa kiasi kikubwa maongezi hasa upende wa mangula ndo maana kaonakana kama hakupewa nafasi sana. ideal ni nzuri uratibu wa kipindi sio mzuri
 
mwendesha kipindi alikua
ajikite sana kwenye maana ya uzalendo na viashiria vya uzalendo. ana
hamahama sana kwa kuuliza maswali mbalimbali

nakuunga mkono mkuu!
mtangazaji is too much of an 'Ametur' anatakiwa mtu mzoefu kuendesha hiki kipindi... La sivyo basi mtangazaji ajitahidi ku-stay on truck, sio kuhama hama kwa maswali mengi tofauti tofauti
 
Mangula yupo systematic!, Dr Slaa hata hamu ya kumsikiliza nimekosa.
 
Nmeangalia kipindi kipya cha UZALENDO ITV kwa kweli sijakielewa badala ya kuuliza maswali kwa kubalance anauliza kwa kukishambulia chama kimoja nawashauri viongozi wa CHADEMA wasikate tamaa watamaa kwa watangazaji kama huyu wa kipindi kalipwa shilling ngapi
 
nakuunga mkono mkuu!
mtangazaji is too much of an 'Ametur' anatakiwa mtu mzoefu kuendesha hiki kipindi... La sivyo basi mtangazaji ajitahidi ku-stay on truck, sio kuhama hama kwa maswali mengi tofauti tofauti

mtangazaji bado kinda sana ktk kuhoji. alikua aulize maswali yanayofanana ili tupime jinsi wote wanavyo jibu.
 
Kwa kweli Mangula hana uwezo wa kuongea sana. Yaani naona Dr. Slaa kamfunika mbaya kabisa.

huyu mzee wanamuonea tu, no offense but siasa hizi za miaka hii haziwezi kabisa.!
Ndio maana chama kinashindwa kuwazuia akina mwigulu wanaolipasua taifa kwa maslahi yao BINAFSI.!
 
Ndugu yangu kwanza naomba nikupongeze kwa kuwa na binti ambaye anauelewa mkubwa kiasi hicho regardless her age, ni kweli kabisa kwa wale ambao mmetazama hiki kipindi mzee Mangula kapwaya, hana hoja, hajui anaongea nn, anaogopa, full uncomftable, big shame, eti wao hilo ndilo jembe!
Nirudi kwnye swali mwambie hivi - Huyu babu Mangula ameshiriki kuleta umasikini wa watu wote hapa TZ hata kwa bibi na babu kama hakai nao karibu.

.Nimekaa na binti yangu mdogo sana tunaangalia kipindi cha uzalendo ambacho wasxhiriki ni Dr. Slaa na mzee Mangula yule wa mkoa mpya wa Njombe lakini katika kipindi hiki amesimama kama makamu mwenyekiti CCM Tanzania Bara.
Binti yangu kaniuliza: Baba, mbona yule baba anayeitwa Mangula akiulizwa maswali majibu yake siyo mazuri kama ya yule baba anayeitwa Dr. Slaa?
Kweli nimeshindwa kumjibu. Naombeni msaada: Nimjibuje jamani?
 
Kweli that Presenter is too naive on many important National issues,We need a seasoned presenter this one is too boring and uninformed to my liking.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom