Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

Status
Not open for further replies.
hv ni kwa nini chadema huwa mnapenda kutukana kuliko kujibu hoja, au ndiyo akili ya viroba na bangi inavyowatuma.

Probably thats because your mind is schizophrenic disturbed go for a medical check
 
hahahahaha una tumia ID mbili ile ya thatha tume kuona kituko...hii tuta kuona mpuuzi...
Kumbe wewe ndiyo ben saa nane bora umejitambulisha mwenyewe bila hata kujitambua pole kwa kuwa rundo la id.
 
Uncle deo: unatia aibu kwa kiswahili chako! Na hiyo inaonyesha jinsi gani upeo wako wa uelewa ulivyo mdogo. Pamoja na hayo una haki ya kuchangia mada, ila usihame kwenye mada. Una elimu gani?
 
Nadhani unamjua mzee slaa jipange kwa hilo.

Weka mbali mkeo na wanaume lijali, kulalamika hakufuti ukweli, mkanye mkeo kupita pita anga za wanaume lijali; harafu ukitelekeza mke akiolewa usione wivu kama demu, acha wanini wengine wafanye dhahabu shida yako nini, umeachwa???
 
Nchi hii sijui nani
kailoga,sasa kuwahoji Mangula na Slaa kutaleta faida gani kwa taifa
hili,kwanza nani awasikilize??

Asilimia 75 ya Watz wapo vijijin huko wanasulubika na maisha,et
uzalendo..!!

Uzalendo kwenye TV??

Wastage of time resource...

We
growing wiser, are we just growing tall?

na wewe unakuja kulalamika kwenye mitandao wakati asilimia 80 ya wananchi bado hawana access .!
wastage of kilo bytes za kufikiri
 
Nimekosa kipindi kizuri sana! Laiti ningetazama, ningeweza ku-comment kipi ni kipi! Si busara kuongea ushabiki! Marudio?
Mkuu kama na wewe ni mwanaCCM kama mimi hichi kipindi hakikufai, maana ukiona utaumia na kukatishwa tamaa na sikushauri uje kukiangalia.

Ila kama wewe ni mpenzi wa CHADEMA basi fanya juu ukione ili uburudike.
 
hv ni kwa nini chadema huwa mnapenda kutukana kuliko kujibu hoja, au ndiyo akili ya viroba na bangi inavyowatuma.

What else can you do to help these empty-headed souls?Just knocking some senses into their stupid heads
 
namshangaa slaa. kasema mkuu wa CIA aliachia ngazi kwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi usiyofaa. kashangaa usalama wa taifa kushiriki maovu mengi lakini hawajiuzulu. KWELI BABU SLAA HAPIMI MANENO AYASEMAYO. ANABWABWAJA TU. yeye mbona hajajiuzulu kwa kuwa na mahusiano yasiyo faa!? kama ningekua yeye, nisingetoa mfano wa CIA. ze halina akili hili
th
th
th
 
View attachment 105205

1:00 USIKU leo alhamisi Usikose kuangalia kipindi kipya kabisa cha UZALENDO kikuhusu mambo yanayojiri katika medani ya siasa nchini na waalikwa wakiwa wanasiasa kutoka vyama tofauti wakichambua hoja mbalimbali kuhusiana na hali inavyoendelea nchini.

Katika kipindi cha leo tutakuwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bwana Philp Mangula na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Wilbroad Slaa

Kwa sasa, nchini hakuna mtu mwenye akili na upeo kama Dr Slaa!
 
Poor CCM members,They simply don't know how to stop Dr Slaa.You know what?No matter what,We need Dr Slaa to clean up the mess you morons created.No one can do a better job than Dr Slaa,We need him at least for one term to lay some foundation down and then we give a second term to another patriotic politician to finish the lap off.

Kajifunze kiingereza kilaza weye usiye na haya wala aibu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom