Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,826
- 967
Hizo si ndio zake huyo babu. Ya makontena ya silaha iliishia wapi?
Amesahau kuwa tTanzania nzima inaendeshwa na CCM? ananshangaza!
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania ni Rais Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete kwa niaba ya CCM.
Asichkielewa au msicho kielewa ni nini? misukule basi hapo itaona kaongea kitu cha maana kumbe anawachezea ufahamu wao.
Misukule hujua misukule wanzao. Hivyo kwa kuwa msukule huzaliwa na msukule hivyo basi mama na baba wa msukule nao ni misukule na ukoo mzima ni misukule na washirika wao katika vyama ni misukule. Hivyo basi msukule huyu katoka Chama Cha Misukule kwa kifupi hujulikana kama CCM.