Kajifunze kiingereza kilaza weye usiye na haya wala aibu.
you might also be empty-headed without recognizing yourself. bavichaism has made most youth reluctant to conduct significant researches on key national issues! it has made them resort to writing no sense! shame on you bavicha!
You don't make any sense,Just go back to school and learn more english lessons to improve your english.Your cannot even make a proper english sentence!
Mkuu wao matusi ndiyo asili yao make hata viongozi wao matusi kwao ni kawaida sana.Shida ya ma pro cdm ukipngana nao wao wanaonaa matusi ndo solution! Wanafikiri watu wote ni mashabiki wa siasa
Poor CCM members,They simply don't know how to stop Dr Slaa.You know what?No matter what,We need Dr Slaa to clean up the mess you morons created.No one can do a better job than Dr Slaa,We need him at least for one term to lay some foundation down and then we give a second term to another patriotic politician to finish the lap off.
Kajifunze kiingereza kilaza weye usiye na haya wala aibu.
kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi nasubili kwa hamu ccm wajanja sana wameamua kumleta mangula kwasababu wanajua yuko clean,kwa maoni yangu Dr.slaa hamuwezi mangula mangula aliwai kumwambia kikwete hufai kuwa raisi kwenye kikao zanzibar
mwanaizaya weye usiyelijua hili wala lile. Kazi kuramba mwiko kwa kutumia msongo wa pwani. Lizomeeni hiloooo
Kumbe wewe ndiyo ben saa nane bora umejitambulisha mwenyewe bila hata kujitambua pole kwa kuwa rundo la id.
Katika kipindi cha Uzalendo kilichorushwa leo na ITV,Makamu Mwenyekiti wetu wa CCM Tanzania Bara,Comrade Phillip Mangula hakupewa nafasi ya kutosha. Dr.Wilbrod Slaa ndiye hasa alikuwa ndiye mgeni mlengwa wa kipindi hicho.Maswali ya kufikirisha aliulizwa Dr.Slaa. Yale ya kawaida akaulizwa Mangula.Tena,Mangula akafinyiwa muda wake wa kujibu na wakati Fulani kusahaulika katika kutupiwa swali linguine. Kwanini imefanyika hivi? ITV nao ni CHADEMA. Tujue mapema.Kuna haja kwa chama chetu cha CCM kugomea ushiriki wa vipindi kama hivi. Laasivyo, chama kitaaibika kupitia vipindi hivi vya luninga. Tusishiriki midahalo ya aina yoyote ile. Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
...aah mzee tbc mliichakachua fasta kwa kudhani inawabeba wapinzani kumbe sivyo,tatizo ni uwezo wa viongozi wenu na wala sio itv.kumbuka "the reward of good job is more work" kwakuwa dr anajulikana kwa kufanya vizuri basi anapewa muda zaidi maana wananchi wanahamu kusikia zaidi toka kwake...
Poor CCM members,They simply don't know how to stop Dr Slaa.You know what?No matter what,We need Dr Slaa to clean up the mess you morons created.No one can do a better job than Dr Slaa,We need him at least for one term to lay some foundation down and then we give a second term to another patriotic politician to finish the lap off.
Wewe siku ni mwanaccm?,halafu kabila ya mmiliki wa itv unaijua?,na asili ya chaga development manfesto(CHADEMA) unaifahamu?.tafakari chukua hatua.Katika kipindi cha Uzalendo kilichorushwa leo na ITV,Makamu Mwenyekiti wetu wa CCM Tanzania Bara,Comrade Phillip Mangula hakupewa nafasi ya kutosha. Dr.Wilbrod Slaa ndiye hasa alikuwa ndiye mgeni mlengwa wa kipindi hicho.Maswali ya kufikirisha aliulizwa Dr.Slaa. Yale ya kawaida akaulizwa Mangula.Tena,Mangula akafinyiwa muda wake wa kujibu na wakati Fulani kusahaulika katika kutupiwa swali linguine. Kwanini imefanyika hivi? ITV nao ni CHADEMA. Tujue mapema.Kuna haja kwa chama chetu cha CCM kugomea ushiriki wa vipindi kama hivi. Laasivyo, chama kitaaibika kupitia vipindi hivi vya luninga. Tusishiriki midahalo ya aina yoyote ile. Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
maneno ya busara.[/QUOTE
Vipi ben saanane mambo.