Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

Status
Not open for further replies.
mbona slaa anatumia mkono mmoja!? ina maana ule wa kushoto haujapona hadi leo!? pole sana dkt!
 
slaa kasema udini unavunja uzalendo. nashangaa slaa kulaani udini hali ya kuwa yeye na chdm ni wadini
 
Wana JF anagalieni ITV jinsi wazee wa siasa za nchi hii wanavyodadavua mambo.
Karibuni
 
mwendesha kipindi alikua ajikite sana kwenye maana ya uzalendo na viashiria vya uzalendo. ana hamahama sana kwa kuuliza maswali mbalimbali
 
slaa amebanwa kuhusu kutoa hadharani siri za usalama wa taifa. je huo ni uzalendo? slaa anajiumauma. mwendesha kipindi anamuuliza sana slaa kuliko mangula. hiki kipindi kinahitaji mtangazaji mzoefu sana. huyu dogo hakiwezi
 
Haaaa haaaaa Dokta yupo studio.....Huyu mwingine yupo kwenye uchochoro gani sijui!!?
 
Slaa anapewa mda mwingi lakini anautumia vibaya sana, anaishia kulialia badala ya kujenga hoja
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom