fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Mtu hapendwi kwa umri wake, dini yake, kabila yake, rangi yake, au eneo analotoka, ni kwa faida na mchango wake kwa taifa. Tatizo ni mchango mkubwa wa slaa ambao unatishia kila mpenda wizi tanzania, am sorry lkn hata kaka mkubwa hajatoa mchango kwa taifa hili kama ambavyo daktari amefanya, ee kumbe nayeye siku hizi daktari wa kupachikwa!!!