Live: Mgambo v Simba - Uwanja wa Mkwakwani

Hapa nilipo hata sijielewi, hii timu inabidi tuibadilishe, kwa nini hawataki kufunga japo goli moja tu ili tulale vizuri.
 
mwenye msimamo angalau tano bora baada ya sare hii ya simba auweke hapa
 
Huyu dogo Edward Christopher ni mzuri kuliko Felix Sunzu, angeanza mapema angeweza kuwaletea Simba ushindi
 
Ni wazi kwamba Simba hana ubavu katika viwanja vya nje ya mkoa wa dsm.
Na hapo bado hawajakwenda kanda yab ziwa.

FT: MGAMBO JKT 0-0 SIMBA
 
Mpira umekwisha kikosi kazi cha fitina kimefanya kazi nzuri sana mkipongeze
 
Back
Top Bottom