Live: Mgambo v Simba - Uwanja wa Mkwakwani

Live: Mgambo v Simba - Uwanja wa Mkwakwani

Tisha-TOTO

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
1,175
Reaction score
604
Leo ni nafasi ya Simba ama kuendelea kujikita kwenye kilele cha ligi au kuiweka rehani nafasi hiyo kwa Yanga wanaoonekana kuinyatia kwa kasi.

Tunaomba live updates kwa wale mnaongalia au kusikiliza mechi hii.

Mubarikiwe!!
 
Simba wanacheza dk.30 za mwanzo tu
 
Dk. 2 za nyongeza kipindi cha kwanza
 
nipo uwanjani elo jamani... Sasa hivi ni half time..
Tumewakosa kosa mara kibao..simba wana kadi mbili .simba wamepiga mashuti kibao sema ndio tumeshindwa kupata magoli.. Simba wanacheza kwa maelekezo ya walimu wanacheza vizuri sema mabeki central wanazingua sijaona penentration pass zikipigwa hapa ...foward leo ni butu inakatika hawapo makini labda kwa vile boban hayupo so lolote laweza kutokea kipindi kijacho.

Wanatakiwa watulie
Kaseja katoa magoli mawili ya wazi anatumia eneo lako vizuri, kaseja anajua sana.......
 
Seif Magali, lengo simba wasishinde leo

Naamini kikosi hicho hakiwezi kubadili matokeo ya uwanjani, kama kilishindwa kuifunga Simba Oktoba 3 leo kitawezaje kuifunga Simba kupitia Mgambo? Si uliona jana, licha ya Simba kuwa na kikosi hicho na kufanikiwa mwanzoni, hadi mwisho matokeo ya uwanjani yaliamua mshindi.
 
simba wanapiga mpira wa chini mgambo wanacheza mipira ya juu so wanatuaribia
 
nipo uwanjani elo jamani... Sasa hivi ni half time..
Tumewakosa kosa mara kibao..simba wana kadi mbili .simba wamepiga mashuti kibao sema ndio tumeshindwa kupata magoli.. Simba wanacheza kwa maelekezo ya walimu wanacheza vizuri sema mabeki central wanazingua sijaona penentration pass zikipigwa hapa ...foward leo ni butu inakatika hawapo makini labda kwa vile boban hayupo so lolote laweza kutokea kipindi kijacho.

Wanatakiwa watulie
Kaseja katoa magoli mawili ya wazi anatumia eneo lako vizuri, kaseja anajua sana.......

Asante mkuu kwa half-time snapshot. Wengine hatuna access yo yote kwa sasa!
 
simba wanapiga mpira wa chini mgambo wanacheza mipira ya juu so wanatuaribia

Ndiyo tactics zenyewe hizo ili mshindi apatikane.
Wote wakicheza mchezo wa kufanana si mechi itakuwa dull?
 
Back
Top Bottom