Live: Mgambo v Simba - Uwanja wa Mkwakwani

......Jana nilifurahishwa sana na matokeo hayo hapo juu na leo nimefurahishwa sana na matokeo haya hapa chini:

Mgambo 0 Simba 0

What an end to the week!

yani mimi na wewe ndugu moja kila kitu kama mapacha TWITE NA KABANGE kuanzia bongo england mpaka spain ila wacha niongeze kidogo buyern munich 5 fourtuna D 0 Juventus 2 Lazio 0 pia matokeo ya ESPARANCE DHIDI YA TP MAZEMBE YALINIBAMBA PIA MAANA KUNA MIJITU ISHAKUWA TABU KUCHEZEA SAMATTA PALE
 
Simba SC bado hiko poweful, hizi droo anazopata si kwamba ndo kaishiwa mbinu; nina imani timu itakayokutana na Simba baada ya hizi droo za mfululizo jua hiyo imeliwa; itachalazwa kichapo cha aibu.

Azam is next. Droo za awali ilisemekana tatizo ni kukosekana kwa Okwi. Jana tena, tatizo likawa mla ganja Boban. Mwe!
 
Azam is next. Droo za awali ilisemekana tatizo ni kukosekana kwa Okwi. Jana tena, tatizo likawa mla ganja Boban. Mwe!

Game ile ya jana hata wangemwazima yule MUNGU mtu wao mwingine anayeichezea T.P Mazembe cdhani kama wangevuna matokeo ya tofauti na yale waliyovuna,pale dawa pekee ilikuwa labda Mgambo wangetolewa wachezaji wawili hlf Simba wakapewa penalt labda ndo wangetoka na points zote 3.
Niliwahi kusema humuhumu Jukwaani kuwa wanaomtegemea Okwi a'shine kama msimu uliopita wamekula wa chuya,Okwi msimu huu ni wa kawaida sana.
 
yani mimi na wewe ndugu moja kila kitu kama mapacha TWITE NA KABANGE kuanzia bongo england mpaka spain ila wacha niongeze kidogo buyern munich 5 fourtuna D 0 Juventus 2 Lazio 0 pia matokeo ya ESPARANCE DHIDI YA TP MAZEMBE YALINIBAMBA PIA MAANA KUNA MIJITU ISHAKUWA TABU KUCHEZEA SAMATTA PALE

Tuko pamoja hapo kwenye green (kibibi kizee cha Turin), but kwenye Bundesliga mimi ni Borrusia Dortmund mkuu!

Kwa Afrika nilikuwa na bado ni mnazi mkubwa wa Enugu Rangers (Nigeria), El-Mahalla El-Kubra (Egypt) na Gor Mahia (Kenya).
 
Mtoto halali na pesa bana.
Hii ndoo ya Yanga mwaka huu.
Mwisho wa raundi ya kwanza lazima tutaongoza tu, kwa sababu mechi nne zilizobaki lazima tushinde, tutapiga Azam, Mtibwa, Polisi na Toto pia. Yanga na Azam watadraw mechi yao au Azam atafungwa na hapo ndo tutakaposimama na kusema heri waishabikiao Simba maana hawataabika milele.
 
Back
Top Bottom