TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
wapi mtani..
Hahaha mkwakwani hapo ngoja niendelee kuwapa updates
wapi mtani..
Asante mkuu kwa half-time snap. Wengine hatuna access yo yote kwa sasa!
Tupeni raha jamani nyie mgamboWana-Voda doa jeusi!
simba wanapiga mpira wa chini mgambo wanacheza mipira ya juu so wanatuaribia
simba wanatafuta goli kwa nguvu zote dk ya 50
Ha ha ha haaa! Katavi, njoo hapa umsikie jamaa yako St Ivuga anataka Mgambo wasiwavurugie wanyama!
kama net yako iko vizuri startv wanarusha moja kwa moja..
Vipi hawajapata tu? Mwingizeni Okwi, au yumo kadhibitiwa? Mtani nakuaminia wewe mkweli, endelea kutiririka.
Vipi hawajapata tu? Mwingizeni Okwi, au yumo kadhibitiwa? Mtani nakuaminia wewe mkweli, endelea kutiririka.
Okwi wamemkaba kweli ... Inapigwa faulu kwenda jkt ...
Okwi, ngasa, sunzu wote wapo wamefichwa na mgambo
Dah..............