Live: Mgambo v Simba - Uwanja wa Mkwakwani

Live: Mgambo v Simba - Uwanja wa Mkwakwani

Kila la heri watani.....

Dakika ya 70

Mgambo JKT 0-0 Simba
 
Huyu Refa naye hovyo kweli.....

Freekick kuelekea lango la Mgambo JKT....

Ngasa anapiga hovyo
 
dah.......kuna goli hapa nshaliona .... ,mkude anawalamba chenga vijana wawili .
 
na leo imekula kwetu..
Bado mna nafasi mtani........Tatizo forward line yenu leo imepooza sana, kuanzia Ngasa, Sunzu mpaka Okwi.....

Ni bora amuingize dogo Edward Christopher anaweza kuwaokoa...
 
Ngasa anatoka, kachemsha leo......Anaingia Edward Christopher
 
Simba wakijitahidi kubana itakuwa droo
 
Hapo lazima kuna mkono wa kandambili. Kwi kwi kwi te he te he he te ah ha h a ha
 
Back
Top Bottom