Live: Mgambo v Simba - Uwanja wa Mkwakwani

simba 9 19
azam 7 17
yanga 8 13
CUSC 8 13 ...

Acha ulevi wewe Yanga ana points 14
Ameshinda games 4 (Dhidi ya JKT Ruvu,African Lyon,Toto na Ruvu Shooting) = 12 Points
Ame'droo 2 (Dhidi ya Prisons na Simba).....................................................= 2 Points
Ametereza 2 (Dhidi ya Mtibwa na Kagera)..................................................= 0
Total........................................................................................................14 Points

Hiyo Yanga uliyoielezea hapo nahisi itakuwa ni Young Boys ya Chamazi
 
Washabiki wa Yanga wanaona tushafungwa, furahini bwana hii ni zamu yenu kufurahi lakini ili furaha izidi kuwa kubwa inabidi tupoteze mechi inayofuata lakini kwa sasa wapinzani wetu ni Azam lakini tukiwapiga wao wajue ndo gia zimekubali, unajua magari manual ya zamani gia huwa zinakwamakwama, mwanzoni ziliingia vizuri lakini tukabadilisha ikagoma kuingia bado tunahangaika lakini natumai tukifika kwa Azam tunaweka mbili ambayo tutapita nayo popote pale, kwenye milima, miteremko, mabonde na makorongo ya aina yote hadi mwisho wa safari hadi hapo mwezi wa tano mwakani, hivi mechi ya mwisho pia tutacheza na Yebo yebo au ?
 
Aaah, siyo mbaya! kumbe yanga wanahitaji mechi mbili ili watufikie? Bado tuna nafasi ya kufanya marekebisho.

Kijana usipende kumeza SUMU kirahisi namna hiyo,mechi 2 Yanga itakuwa imeshawaacha kwa point 1
 
Kijana usipende kumeza SUMU kirahisi namna hiyo,mechi 2 Yanga itakuwa imeshawaacha kwa point 1
Tumewatangulia mechi moja tu, mtuache pointi moja kwa hiyo ushajiridhisha kwamba sisi mechi inayofuata tutafungwa si ndio? Wenye ubavu wa kuongoza sa hivi ni Azam na sisi pia lakini nyie msubiri kidogo.
 
Acha ulevi wewe Yanga ana points 14
Ameshinda games 4 (Dhidi ya JKT Ruvu,African Lyon,Toto na Ruvu Shooting) = 12 Points
Ame'droo 2 (Dhidi ya Prisons na Simba).....................................................= 2 Points
Ametereza 2 (Dhidi ya Mtibwa na Kagera)..................................................= 0
Total........................................................................................................14 Points

Hiyo Yanga uliyoielezea hapo nahisi itakuwa ni Young Boys ya Chamazi

haya ni typing error mbona povu ndugu..
 
Tumewatangulia mechi moja tu, mtuache pointi moja kwa hiyo ushajiridhisha kwamba sisi mechi inayofuata tutafungwa si ndio? Wenye ubavu wa kuongoza sa hivi ni Azam na sisi pia lakini nyie msubiri kidogo.

Ahahahaaaa. Komedi nyingine bwana!!!

Kwa komedi hii umemzidi hata Masanja............
 
Hawa mgambo wakati wanaanza ligi sijui walikumbwa na maswahibu gani. Naona sasa wamesimama
 
Simba ni timu pekee ambayo haijafungwa msimu huu ... that's a fact!

Correct. Very.
Lakini kumbuka Simba inaweza kumaliza ligi kwa kutofungwa (kwa kutoa sare hovyo na vibonde kama hii ya leo na Mgambo) lakini ikaishia nafasi ya 3 au 4 ambayo bookmakers wameishatabiria tayari.
So, kuwa unbeaten hadi leo hakutaku-guarantee silverware!
 
Matokeo haya hapa chini hapo jana Jumamosi yalinifurahisha sana....

1. Yanga 3 Ruvu Shooting 2

2. Liverpool 1 Reading 0

3. Messi's hat-trick kwenye La Liga. Huyu bwana mdogo sasa amebakiza magoli 4 tu hadi end of 2012 kuifikia rekodi ya Pele ya mwaka 1959 ya kufunga magoli 75 in a calendar year!
Awesome achievement!!

......Jana nilifurahishwa sana na matokeo hayo hapo juu na leo nimefurahishwa sana na matokeo haya hapa chini:

Mgambo 0 Simba 0

What an end to the week!
 
Simba SC bado hiko poweful, hizi droo anazopata si kwamba ndo kaishiwa mbinu; nina imani timu itakayokutana na Simba baada ya hizi droo za mfululizo jua hiyo imeliwa; itachalazwa kichapo cha aibu.
 
Correct. Very.
Lakini kumbuka Simba inaweza kumaliza ligi kwa kutofungwa (kwa kutoa sare hovyo na vibonde kama hii ya leo na Mgambo) lakini ikaishia nafasi ya 3 au 4 ambayo bookmakers wameishatabiria tayari.
So, kuwa unbeaten hadi leo hakutaku-guarantee silverware!

well said....walibweteka na uwanja nyumbani wametoka nje wametepeta....cc twaja mdogo mdogo...time will tell..
 
Jamani nilikuwa nimeshalala lkn nilivyoikumbuka ile kanzu ya Kiemba imenibidi niamke,wale watoto (Mgambo) washenzy kwelikweli ndo nini kumdhalilisha Mrithi wetu wa Mafisango(RIP) namna ile mpaka ikabidi amsukume?
 
Back
Top Bottom