Live: Mgambo v Simba - Uwanja wa Mkwakwani

Live: Mgambo v Simba - Uwanja wa Mkwakwani

Hali ikiendelea hivi kocha wa simba ipo siku atamtandika mwamuzi nakoz
 
poleni sana mkia fans napita tu... one win tushakaa juu..
 
Inawezezekana leo wamechelewa kumtuma Ulimboka mwakingwe kupeleka mlungula ndio kazi yake kubwa Simba wanacheza saana mechi zao nje ya Uwanja ningekuwa nafanya kazi PCCB Karibia FOS wangekuwa wananyea debe segadance
 
Simba ni timu pekee ambayo haijafungwa msimu huu ... that's a fact!
 
Naona Milovan alikuwa anawalalamikia waamuzi kwanini siku hizi hawawapi penalt
 
Hii ni mechi ya 2 wapinzani wa Simba wanamaliza wakiwa kamili na Simba anashindwa kuondoka na points zote 3
 
bora point 1 kuliko kupoteza point 3
 
Hii ni mechi ya 2 wapinzani wa Simba wanamaliza wakiwa kamili na Simba anashindwa kuondoka na points zote 3
Lakini pia Simba haijawahi kupoteza point zote tatu tangu ianze ligi. Angalau tunaokoteza hiyo point moja moja.
 
Chezea mgambo wewe juzi tu wamezima mandamano palepale msimbazi,.
 
Lakini pia Simba haijawahi kupoteza point zote tatu tangu ianze ligi. Angalau tunaokoteza hiyo point moja moja.

Mechi ya ngapi sasa wanashindwa kuibuka na ushindi mfululizo? Ijayo mtatandikwa
 
Back
Top Bottom