M
MegaPyne
Guest
- Thread starter
-
- #221
'afu nilisahau ebu fuateni ze link hii ya jumptv, muangalie ndio wanawrap up kikao huko kIZOTA,Dodoma !
http://www.jumptv.com/en/channel/Channel10Tanzania/
STAY TUNED MABABU !!
Hiyo ni taarifa ya habari unaangalia!
Leo nimemwona Zuma wa ANC anaongea kuhusu brotherhood ya CCM na ANC. Nikawa najaribu kumpicture mzungu mmoja wa hawa Conservatives wa UK akiongelea partnership yao na CHADEMA na historia ya Ukoloni na koloni...kwenye mkutano mkuu wa CHADEMA.
CCM ina historia nzuri sana, wanatakiwa wailinde kwa nguvu zote bila kuachia wachache wafanye wanachotaka kupitia mgongo wake.
Nikasoma sehemu ya Speecha Mwenyekiti wa CHADEMA
"This is the very democracy Mr. Chairman and distinguished delegates, which is so desirable but is yet so elusive in practice. Probably the most overused and misused word in the political language is this word democracy! Everybody uses it, identify with it but hardly if ever practices it!
Mr. Chairman and distinguished delegates, while we cannot avoid representational democracy, we must make sure to recognize the individual wills, within the public will.
What I am advocating is the need to re-examine our representational base vis-a-vis individual within that base. Our party slogan is "PEOPLES POWER". It acts as a constant reminder for us that ultimate power resides in individual.
Naomba nimsahihishe Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kumwambia asitumie neno Everybody ambalo linam"include" yeye na wengine(ikiwamo CCM). Tunaona wenzake wanafanya uchaguzi. Kama yeye ni Mwenyekiti kwa kurithi kutoka kwa baba mkwe (ndio hiyo PEOPLE'S POWER slogan?) wenzake wanagombania.
"While we cannot avoid representational democracy" - Sasa angetaka ai"avoid?
...
kuna kipindi walitaka kuweka matokeo ya mbowe hapa JF baada ya yeye kwenda UK kunoa ubongo, naskia alipata C- kwenye English 101, so alivyoongea pale i can understand him where he comes from !
Nimepata Taarifa Kutoka Huko Dodoma,matokeo Hayatatangazwa Tena Leo,bali Yatatangazwa Kesho,wajumbe Wote Watakutana Tena Kesho Saa Tano Kamili Kwa Ajili Ya Kutajiwa Matokeo Yao,
Jk Is Never And Has Never Been Serious...analonga Longa Tu! Nashangaa Kwa Nini Watu Bado Wanapoteza Muda Kumsikiliza! No Wonder Wajumbe Kwenye Picha Wanaonekana Wamenuna....
Kada tunaomba uweke tena hayo matokeo please, au basi nitumie kwenye email yangu masatu@kusubiripicha.matokeo.mwanakijiji