The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Watoto wa Mama wote wameenda kulala.
Hapa tumebaki Mimi Madame B, The Finest, Teamo na JUSTINE Faustine
Beer Oyeee!!!
Wote hao ni watoto wa Mama.
Wameenda kulala.
Hapa tumebaki Ma-hardcore.
Chezeiya.
Jamani bado mpo, nataka kuja now...oh maamah nimeimiss govinda kumar! Asprin umenibakshia kontesa? Manake we babu kwa kubeba takeaway...ckuwezi
Siku ya bwanaWote mmesepa. Mi ndo namalizia JD yangu nisepe. Kwani leo cku gani?
Siku ya bwana
hahah basi lazima nitakutasaka tu...kumbe eenh!!
Daddy mie simtakiiii..... Lakini hasikiii!!!
Hebu Mentor, Vin Diesel na Kipaji Halisi hebu niambieni kama wale wageni wangu wadada watatu waliondoka salama maana niliona ushindani ulikuwa mkubwa....
KakaKiiza alikubali kushindwa kweli.....?
Ha ha ha haaa
Sidhani kama kulikuwa na usalama, KakaKiiza aulizwe vizuri.
nitakutafuta usijali mpendwa....ndani ya wiki 2 hiziTusakane bwana.
Baba, heshima yako.
Nna wasiwasi unakaribia kuoa mke wa pili. Hizi sherehe za kimswati mswati unafanya kila leo, tutaanza kumvalisha maza kamptula, ole wako uchonge!
Hebu Mentor, Vin Diesel na Kipaji Halisi hebu niambieni kama wale wageni wangu wadada watatu waliondoka salama maana niliona ushindani ulikuwa mkubwa....
KakaKiiza alikubali kushindwa kweli.....?
kukataliwa kubaya! Wabaki unababaika! Wazomewa! Nawe wajidharaulisha bure! Hutakiwi hebu timua! Hebu rudi home haraka kuna ishu nataka unipe!
Kumbukeni kwenda church pia...kwa wale Wakristo Yesu anakaribia kurudi.