Uchaguzi 2020 Lissu hana uchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili

I
I bow down for you...RESPECT.
Kabla mtu hajaandika kitu kuhusu Lissu,anapaswa kuwa na concrete facts na pia aelewe anachoandika.
Mtu akisema Lissu alitetea aporwaji wa dhahabu,unakuwa unajua tayari unaongea au unapewa hoja na mtu mwenye uhaba wa taarifa(less informed)
Tatizo la hawa jamaa bure kabisa!

Hapo Mleta Mada mpe changamoto aseme kwa undani Tundu Lissu alisema nini kuhusu sakata la makinikia, katu hawezi kukuambia kwa sababu majority kama sio wote wamekariri mstari unaosema "...wawekezaji wakileta mali zao kwako, halafu ukazichukua utapelekwa MIGA ukashughulikiwe.."

Yaani hawa jamaa kutokana na vichwa vyao kuwa na memory ndogo, wamekariri hiyo sehemu peke yake na alichosema TL baada ya hiyo sentensi, wameshakisahau!!!
 
Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu.

Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na Marekani, alimkejeri kwa kusema nchi yetu haiwezi kufanya chochote ni lazima tukope leo tumeingia ktk uchumi wa kati na tukiendelea hivi tutaachana na mikopo, ambayo inakuwaga na mashariti magumu mashariti mengine Lisu anayapenda na ni mtetezi wa hayo. Leo tunashuhudia kwa mara ya kwanza tangia kupata uhuru kumbe kuto kukopa inawezekana.

Lisu hanauchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili alisikika akitoa povu baada ya kukamatwa kwa mchanga wenye madini ukitaka kutoroshwa yeye alitoa povu, povu lilimtoka akisema wayaachilie hili wazungu wayachukue, huyu ndiyo Rais wetu mtarajiwa. Alikwenda mbali zaidi na kuchimba biti nzito kuwa kama Magu ataendelea kuyashikilia yale makinikia atapigwa kama Gadafi au Sadam Hussen. Huyu ni Tundu Lisu Rais wetu ajaye.

Afrika tumekuwa na utamaduni wa kujali chetu yaani vitu vyetu hatakama ni duni tumefundishwa kuviheshimu kwani ni vyetu lakini yeye alipokuwa Ulaya na Marekani alikuwa akitusi na kukashif mihundombinu yetu kama madaraja na barabara akitukuza za Ulaya na kusema zetu ni takataka.

Lisu amethubutu hata kumtukana aliyekuwa baba wa taifa hili ambapo sisi waafrika tumekuwa tunawaheshimu ansestaz wetu kama kudumisha mila lakini yeye alimshindilia mitusi na kashifa mtuaambaye yupo kaburini amelala hawezi kujibu, na alienda mbali zaidi na kusema wala hastahili kuwa baba wa taifa. Huyu ni Lisu rais wetu ajae.

Lisu amesikika mara kadhaa akikashif watu akiwemo Rais hajui kizungu, yaani Lisu anaamini kabisa kujua kizungu ni jambo la fahari sana kuliko lugha yako ya nyumbani. Je akienda Jamaika akisikia wanavyoonge kiingereza wale wabunge ambacho hawezi kuelewa atasemaji, je akimsikiliza Malema wa Afrika ya Kusini, Au akisikiliza bunge la Nigeria atasemaje. tujikwamue kutoka utumwa wa kiakili.

Wakati taifa la Tanzania likiwa linajulikana kama kisiwa cha amani duniani, lisu ni shahidi, kila taifa likipata matatizo wanakimbilia hapa, lakini Lisu anatafuta kila aina ya njia nchi hii iingie katika machafuko, mahubili yake ni maandamano, kuvunjifu wa sheria na kuhatarisha usalama.

Chadema imekosa laiti kandideti kabisa kwa mara ya pili mfulurizo kwa kumleta mzungu atutawale tena hilo ni kosa ambalo hata Mungu aliyesababisha Tanganyika na Zanziba awezi kukubali. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akakubari ujinga kama huu.

Hiki chama kikongwe kweli kimechoka sana tunajua, kinatakiwa kikapumzike ila si kwa kutolewa na mtu kama Lisu tuacheni utani Watanzania tuwe siriaz kidogo.

Nashindwa kuelewa kwanini CCM inaendelea kutawala na uzee wake wote maana hata katika animal kingidomu mnyama akizeeka anauliwa au kutolewa katika uongozi lakini leo CCM inamiaka 70 kama ni mtu basi hata meno hana hivyo CCM inatakiwa iondoke lakini si kwa kuleta midhaa kama kumweka Lisu, huu ni ujinga tutakaa sana na ndiyo maana huu unaitwa ulofa.

Mbona KANU iliondoka, ZDCP Zanbia kiliondoka, MCP Malawi kiliondoka, Leo mtoto wa mwasisi wa taifa la Kenya ni Rais kupitia chama cha upinzani yaani ni kama Makongolo Nyerere anakuwa Rais kupitia Chadema hiyo safi.

Kama wapinzani hawata acha mihemko na kutulia kutengeneza strategiki, kufanya kama walivyofanya Malawi Kwa Kamuzu Banda, Kenya, Zambia kwa Kaunda CCM itatawala milele na rushwa haita isha Tanzania. CCM imechakaa, hata Magu amekuja katika kizazi hiki anakamua katika mazingira magumu sana sema ninyi malofa hamjui tu. Huyu angekuwa katika chama kipya tungepaa zaidi ya hapa, leo hii ni rushwa, rushwa imekamata kwakuwa chama kimezeeka.

Nawasilisha Mr. Malafyale a.k.a Mla sadaka (mchugaji).
Mkuu umejitoa ufahamu au?
Kwahiyo unataka kusema awamu ya tano haikopi ama?
 
TUM
Watu wa Lumumba hakuna mwenye akili ya kumwelewa Tundu Lissu kwa sababu wenye AKILI WOTE wanamfahamu Tundu Lissu alivyo mwimba kwa Wachimba Madini tangia akiwa LEAT awamu ya Mkapa!

Nyie wengine enzi hizo si ajabu mlikuwa vijijini, kwenu hata radio hamna ndo maana hamfahamu hata siku Polisi wa Mkapa walipovamia nyumba ya Tundu Lissu baada ya TL kusimama kidete kufuatia watu waliokuwa wamezikwa hai kwenye migodi!

Moja ya paragraph kutoka website ya protestbarrick.net inasema:-
Wakati Wapumbavu wa Lumumba mnasema TL anawatetea Barrick, ona Barrick hapo walivyokuwa wanam-brand TL!!

Mtandao wa refworld nao unaripoti:

2002 Annual Report kutoka mtandao wa The Observatory for the Protection of Human Rights Defenders / FIDH and OMCT
Human Rights Defenders, sehemu ya ripoti hiyo inasema:-
View attachment 1567873

Wakati Tundu Lissu anakumbana na hayo kwa kuwatetea Watanzania waliokuwa wamezikwa hai na Barrick, Magufuli na Misukule ya CCM yenyewe ilikuwa inagonga meza kuwatetea Barrick kwa kesi ambayo ni:-
View attachment 1567875

Leo mmekuja mjini, na mmeweza kutumia smartphone mnaishia kuongea ujinga kwa sababu hamjui ni namna gani watu wamepambana na hao wezi kutoka Barrick for almost 20 years huku miaka yote wakitetewa na Viumbe wa Lumumba, huku wengine mkiteteana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu tu za kabila.
TUMENYOLEWA BILA MAJIII BAADA YA MAGUFULI KULINDA MADINI YETU KUTOKA KWA MABEBERU??
HALAFU ALIYEWATETEA MABEBERU WATUIBIE MADINI YETU, HATA AIBU HANA ETI ANATAKA APEWE URAISI
 
TUM
TUMENYOLEWA BILA MAJIII BAADA YA MAGUFULI KULINDA MADINI YETU KUTOKA KWA MABEBERU??
HALAFU ALIYEWATETEA MABEBERU WATUIBIE MADINI YETU, HATA AIBU HANA ETI ANATAKA APEWE URAISI
Angalia ulivyo lofa!! Huyo Magufuli si ndo aliwaambia mnadai Trillion 425?! Hadi sasa mmelipwa ngapi?! Si akawadanganya kwamba hatimae smelter watajenga... hiyo smelter imejengwa wapi?!

Endeleeni kushangilia upumbavu kwa sababu uwezo wenu wa kufikiri ndo umeishia hapo!
 
Dogo kajifunze kwanza kuandika na matamshi sahihi ya maneno

Halafu nazi za wapi huko ambazo nje zina rangi nyeusi.
 
Kumbu hukimsifia Lissu unapewa Maksi hahahaha kwa kipi sasa alichowahi kuifanyia Tanzania Asimame Aseme Kama Matanzania Kaifanyia nini Nchi yake unpataje Maksi kwa kusema uwongo kueneza chukiii
Lisu Ni mtetezi wa wanyonge japo kuwa hataeleweka kwa Sasa lakini tutakuja kumbuka siku hiyo kwamba mfariji wa kweli alikuwa lisu . Magufuli siyo mtetezi Bali Ni tapeli na tumeona pesa za tetemeko na kivuko kule ukerewe
 
Hakunk
Angalia ulivyo lofa!! Huyo Magufuli si ndo aliwaambia mnadai Trillion 425?! Hadi sasa mmelipwa ngapi?! Si akawadanganya kwamba hatimae smelter watajenga... hiyo smelter imejengwa wapi?!

Endeleeni kushangilia upumbavu kwa sababu uwezo wenu wa kufikiri ndo umeishia hapo!
SAWAAAAAA HATA ANGESEMA TUNADAI TIRIONO BILION MIA.

JEEE KANJANJA ALIPANUA MASHAVU NA KUTETEA MABEBERU, KWAMBA TUKIGUSIA MIKATABA YA MADINI TUTANYOLEWA BILA MAJI NA KUSHITAKIWA MAHAKAMA ZA KIMATAIFA. LEO HIIII USO WAKE AMEWEKA KWAPANIIII??
 
You see, ndo maana nimesema nyie watu hakuna mnachojua, ndio maana kuna mtu hapo juu nilimwambia kwamba:-
Hapo Mleta Mada mpe changamoto aseme kwa undani Tundu Lissu alisema nini kuhusu sakata la makinikia, katu hawezi kukuambia kwa sababu majority kama sio wote wamekariri mstari unaosema "...wawekezaji wakileta mali zao kwako, halafu ukazichukua utapelekwa MIGA ukashughulikiwe.."

Yaani hawa jamaa kutokana na vichwa vyao kuwa na memory ndogo, wamekariri hiyo sehemu peke yake na alichosema TL baada ya hiyo sentensi, wameshakisahau!!!
Nawe umeongea kile kile! Yaani wala hujui Tundu Lissu aliongea nini!!! Na watu aina yenu ndo mtaji mkubwa wa Jiwe kwa sababu hamna hata uwezo wa kutafuta ukweli!!!
 
Tatizo la hawa jamaa bure kabisa!

Hapo Mleta Mada mpe changamoto aseme kwa undani Tundu Lissu alisema nini kuhusu sakata la makinikia, katu hawezi kukuambia kwa sababu majority kama sio wote wamekariri mstari unaosema "...wawekezaji wakileta mali zao kwako, halafu ukazichukua utapelekwa MIGA ukashughulikiwe.."

Yaani hawa jamaa kutokana na vichwa vyao kuwa na memory ndogo, wamekariri hiyo sehemu peke yake na alichosema TL baada ya hiyo sentensi, wameshakisahau!!!
Hana hoja ya maana !
 
Back
Top Bottom