Hili suala nilihisi tu ipo siku ataugua! Hilo suala hata kama siyo leo lakini kwa hali ya ulemavu wa Lisu akiendelea kukaa Magereza ataugua tu hasa Presha na Kisukari, hatakiwi kabisa kukaa Magereza na kula vyakula vya mule.
Ukimuangalia Lisu, ni mnene sana. Najiuliza, hivi anafanyaje mazoezi ndani ya Magereza kwa sababu hawezi hata kutembea kwa haraka, tembea yake ni ya kujivuta vuta.
Mazoezi ya Lisu ni ya kutembea angalau muda mrefu pamoja na kudhibiti ulaji ili asipate kisukari na presha.
Swali, je, humo Magereza wanampa uhuru wa balanced diet na kufanya mazoezi? Mana Magereza wana ratiba yao ngumu ikizingatiwa mwanzoni alikuwa amewekwa kwa wafungwa wa kunyongwa!