Kwani yeye ni Jiwe asiumwe? Huwa nawashangaa Chadomo viongozi Wakiwa wagonjwa wanashangiliwa na kuona kwamba ni jambo la ajabu Kiongozi kuumwa.Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Tafuta mume uwe unalala uache kuwaza upuuziNi usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Muwe Mnatumiwa Akili kuandika.Amina amina
Sijawahi kuwa chawa ila sipendi upapasi pia
Haiwezekani your point of view tu ndiyo iwe sio uchawa
Mnaboa sana na similar drama everyday
Full dramaMmeshafanya yenu Ili muisingizie serikali.
kama watu wanaweza kufanya yao na serikali ipo na mtu aliye fanyiwa yuko chini ya serikaliMmeshafanya yenu Ili muisingizie serikali.
Mwijaku na Baba levo SI ndo watu wa type yenu nyie wajinga wa mbogambogaTayari mko bize mnawapost wapuuzi akina mwijaku
Tahadhari na uzushi wako huo usiokuwa na manufaa kwa yeyoteSamia keshafanya mambo take, moto utawasaidia kuuzima
Wasafwa na Wanyiha Wachawi sana 🐼Kwani yeye ni Jiwe asiumwe? Huwa nawashangaa Chadomo viongozi Wakiwa wagonjwa wanashangiliwa na kuona kwamba ni jambo la ajabu Kiongozi kuumwa.
Kumbe ulaya walisema ukweli!Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
DaahKwani yeye ni Jiwe asiumwe? Huwa nawashangaa Chadomo viongozi Wakiwa wagonjwa wanashangiliwa na kuona kwamba ni jambo la ajabu Kiongozi kuumwa.