The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,155
Me naona kama anapoteza mda wake kuwapambania watu wasiojielewa angevuta chake awaache watz wanyoshwe na ccm.
Mwafrika mbele ya tumbo kukua haoni tabu hii ipo Africa nzima unakufa unaacha familia yako inateseka kwa kuzipigania maiti.
Acha watz wanyooshwe bado sana wakichoka hawatalazimishwa kuamka