Tetesi: Lissu anaumwa

Tetesi: Lissu anaumwa

Itakuwa wewe unadhani ni mgonjwa kama chama chako kilivyodhani.
 
kama watu wanaweza kufanya yao na serikali ipo na mtu aliye fanyiwa yuko chini ya serikali

sasa iyo serikali ama upumbavu

kwa akili yako unaona unaitetea serikali kumbe una idhalilisha tu na kuivua nguo kuwa haina nguvu wala uwezo wa kulinda watu walio chini yake
Huna akili, kachochee maharage jikoni huko
 
Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.

Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.

Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Kama si kweli, tutaomba JF wafute account yako maana umezidi kwa uzushi
 
Mwijaku na Baba levo SI ndo watu wa type yenu nyie wajinga wa mbogamboga
Labda wa type ya mama yako

I hate those dudes as much as I hate drama za wanasiasa uchwarq mapapasi mnaozusha ujinga kila siku mitandaoni
 
tunasubiria tarehe 15 anaachiwa au upelelezi umekamilika.... ili twende mahakama kuu
 
Muwe Mnatumiwa Akili kuandika.

LISSU aliwahi sema, anafatiliwa Kwa lengo la kuuwawa, Mkasema upuuzi upuuzi, Kisha akapigwa Risasi kweli

Kwann suala la Sumu lisiaminiwe ??.
Sasa yuko jela why umpe sumu?

Lissu kajimaliza mwenyewe…. Sababu ya mudomo

Kwa ujumla…. Kilichobaki sasa ni vita ndani ya ccm

Ndumuz mmejimaliza wenyewe
 
Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.

Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.

Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Takataka
 
View: https://youtu.be/RCvCQvGKmb8?si=yfF-fyeLh-IlvLME

Haya matamko mawili ya serikali yana upogo kadhaa...:

1. Yameandikwa ktk namna ya kejeli, hayana professionalism. Kama kesi yenyewe ilivyofunguliwa kisiasa, matamko haya yanatoa reflection halisi ya maudhui ya kesi yenyewe..!

2. Hayaoneshi uwajibikaji wa serikali. They are taking this issue which is very complicated as simple and easy like taking beer in...

3. Kwanini magereza especially Bwana Jela wa gereza la Ukonga ambaye ndiye muhusika wa usalama na ustawi wa kila siku wa wafungwa ktk gereza lililo chini yake hajasema lolote badala yake watu wasiohusika kabisa na welfare za wafungwa ndo wako kimbelembele kutoa matamko ya kisiasa kujilinda?

KWA SABABU HIZO:

∆ Kwa watu wenye akili, haina shaka kuona matamko yao yanatoa picha halisi na angavu kabisa kuwa, mpango upo na serikali inajua.

∆ Tukio la kupigwa kwake risasi mwaka 2017 na serikali kuhusishwa, mpaka leo kutochunguzwa na vyombo vyenye mamlaka, linaweza na litaendelea kuihukumu na kuiweka serikali hii gizani milele..!!
 
Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.

Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.

Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Dah! Naikumbuka kauli ya Mtikila "...Mpaka wetu na Zanzbar ni bahari"
 
Back
Top Bottom