Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama.

Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona kinasinzia mwaka 2000, nikiwa na Dk. Wilbrod Slaa na wengine watatu, tulitoa magari yetu tukatembea nchi nzima kufanya mikutano. Nikaenda vyuo vikuu kutafuta wanafunzi walioonesha mwelekeo wa kuwa viongozi.

Credit: Mwanahalisi

sasa kama hujawahi kuomba mtu kua mwenyekiti nani alikwambia commitment ndo imetumika kukuchagua ama umejichagulia mwenyewe? na mbna kila anaetaka kukusalimia kwenye uenyekiti anatimuliwa kwenye chama 😂 😂 😂 😂

- japokua nakukubali sana ukiwa unatoa hotuba, unapangilia vitu vyako vizuri sio kama hawa madem zako wanatukana tu kila sku bila mada
 
Mjane umesahau sumu ya Lissu ilivyokausha vipaja , mpaka kufanya kampeni ikawa hawezekani
yaani Corona ilifanya kama kumsukuma mlevi tu, kazi iliishamalizwa na mtoto wa Singida
Usimuongelee mbeba maono bure bure tutakufikia
Sasa unaandika utopolo gani wewe muamsterdam?

Nenda kamsaidie Mr belgiji kuosha vyombo kule
 
Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama.

Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona kinasinzia mwaka 2000, nikiwa na Dk. Wilbrod Slaa na wengine watatu, tulitoa magari yetu tukatembea nchi nzima kufanya mikutano. Nikaenda vyuo vikuu kutafuta wanafunzi walioonesha mwelekeo wa kuwa viongozi.

Credit: Mwanahalisi

Mh. Mwenyekiti yapo ambayo kweli uliyafanya na kujenga chama sasa, dunia leo inataka mafanikio mapya na endelevu jipimeni na kuchukua hatua inayofaa. Siasa imebadilika na mazingira yamebadilika mno wale uliowakaribisha chamani hasahasa wakati wa uchaguzi ndio wametumika kuchafua CV yako, walikuja na kazi zao maalum wamekamilisha na wale vijana uliowatoa vyuoni ndio hao wamerubuniwa na kuuza mechi, tulipo overhall haitoshi hapa inatakiwa engine mpya yenye hp kubwa zaidi.

Kama utakumbuka zaidi ulipodondokea zaidi ni pale serikali ilipotumia nguvu kubwa kuua upinzani wa CUF lakini kwa kuingiza watu Chadema ili kuonyesha upinzani nchi hii sio CUF walipofanikiwa na kuunga juhudi hao wamerudi wanapostahili na majeraha walioacha tiba yake ni kukubari kwanza:

Mwenyekiti uliwekewa maamluki na hukuweza tambua na Lipumba alikustua wakati unambeba Lowasa ukawa mkari ebu wana intelijensia wa Chadema hawanaga taarifa zozote jamani za kukushauri ;

Pili kumbukeni CCM na Dola vimeungana hii itoshe kukupa picha vyombo vyoote vya dola ni matawi yao manake katika mkutano mkuu wao STH unakuta tatu T ziko tatu. Ukweli kuondosha ni rahisi sana ni kuwaachia wananchi tu ndio wanaweza kumaliza.
 
Akili yako ndogo sana.

Kwamba Dola imepambana na Mbowe imemshindwa ??

Aiseee. Una umri gani ?
Miaka yangu chukua umri wako jumlisha na wa mkeo halafu gawanya kwa mbili jumlisha na umri wa first born wako
 
Makamanda hiyu chairman wetu asitufanye sisi wajinga.

Chama cha siasa ni mali ya umma. Kama yeye alijitolea kujengq Chadema kwa hali na mali sio sababu ya kufanya kama mali yake binafsi.

Ni kweli kuwa alijitoa kwa pesa zake na mali zake, lakini haikuwa sababu za kuanzisha mtaji wa kujilipa.

Tulipata msaada wa magari ya Ford ranger Chairman alijilipa. Alishakuwa anajilipa sana tu tena mengine ni aibu kusema. Lakini Chadema ni mali ya watanzania.

Hii ni mali ya uma kama TANU na ASP vilichangiwa na watu mbona akina Nyerere na Karume hawakugeuza mali zao?
 
Sasa unaandika utopolo gani wewe muamsterdam?

Nenda kamsaidie Mr belgiji kuosha vyombo kule
Utopolo tumefukia tayari ,umesahau mjane😂 Mwamba na Lissu wanadunda.. 🕺🏽🕺🏽🕺🏽🕺🏽🕺🏽
 
Hana madhara kwa CCM. Shida ni kujifanya wanademokrasia wakati haipo. Atabaki kuwa hapo hadi afe kwa kuwa kila atakayejaribu kugombea nafasi hiyo adhabu yake inajulikana.
Wewe ndiyo unaona hana madhara wakati mabwana zako akina ndugai wanamtaja taja kila muda huko bungeni kwenu
 
Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama.

Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona kinasinzia mwaka 2000, nikiwa na Dk. Wilbrod Slaa na wengine watatu, tulitoa magari yetu tukatembea nchi nzima kufanya mikutano. Nikaenda vyuo vikuu kutafuta wanafunzi walioonesha mwelekeo wa kuwa viongozi.

Credit: Mwanahalisi
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa Chadema kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

Chadema wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la chadema ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu Jamii forum lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza Chadema ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na Chadema kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa Chadema wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lisu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa Chadema lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya Chadema wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

Chadema wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama ,mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame(orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )?
Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

Bavicha na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya Chadema ni Mbowe na Tundu Lisu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.
Kuporomoka kwa Ccm wataulizwa SAMIA na Dr Nchongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa ccm kwa sasa.
Kwa nini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli
 
Katika vetting bora Kuwai kufanyika Tanzania ni hii ya mbowe kuwa mwenyekiti

Other wise chadema ingekuwa tayari ni historia.

Kama ilivyo kwa CUF, NCCR, TADEA, UDP na ACT
Huwa nawaza kama CHADEMA nayoingekuwa na Mwenenjaa badala ya Mwenyekiti sijui sauti ya wasiotakiwa kusikika ingekuwa inatokea wapi!!
 
Wewe ndiyo unaona hana madhara wakati mabwana zako akina ndugai wanamtaja taja kila muda huko bungeni kwenu
Anajua sana , anafanya makusudi tu.
Mataga utawaweza basi, wanalipwa lumumba kwa kuandika maujinga humu.
 
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa Chadema kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

Chadema wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la chadema ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu Jamii forum lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza Chadema ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na Chadema kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa Chadema wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lisu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa Chadema lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya Chadema wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

Chadema wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama ,mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame(orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )?
Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

Bavicha na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya Chadema ni Mbowe na Tundu Lisu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.
Kuporomoka kwa Ccm wataulizwa SAMIA na Dr Nchongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa ccm kwa sasa.
Kwa nini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli
Soma hapa lofa wewe
FB_IMG_16200531277729718.jpeg
 
K
Katika vetting bora Kuwai kufanyika Tanzania ni hii ya mbowe kuwa mwenyekiti

Other wise chadema ingekuwa tayari ni historia.

Kama ilivyo kwa CUF, NCCR, TADEA, UDP na ACT
Kwani bado ipo maana covid si hawatambuliki?
 
Makamanda hiyu chairman wetu asitufanye sisi wajinga.

Chama cha siasa ni mali ya umma. Kama yeye alijitolea kujengq Chadema kwa hali na mali sio sababu ya kufanya kama mali yake binafsi.

Ni kweli kuwa alijitoa kwa pesa zake na mali zake, lakini haikuwa sababu za kuanzisha mtaji wa kujilipa.

Tulipata msaada wa magari ya Ford ranger Chairman alijilipa. Alishakuwa anajilipa sana tu tena mengine ni aibu kusema. Lakini Chadema ni mali ya watanzania.

Hii ni mali ya uma kama TANU na ASP vilichangiwa na watu mbona akina Nyerere na Karume hawakugeuza mali zao?
Wewe kada punguza fitina. Hili jambo Mbowe ameliongelea leo. Cdm ni mali ya waTz na Mbowe ni mwenyekiti wa tatu tangu kuanzishwa kwake. Tanu/Ccm wana miaka zaidi ya sitini na Samia ni mwenyekiti wa sita. So mambo mengine ni maswala ya nyakati .
 
Back
Top Bottom