Lipumba achochea tena udini: Waumini walishwa kiapo!

Lipumba achochea tena udini: Waumini walishwa kiapo!

Status
Not open for further replies.
Uchaguzi wa mwaka 2015 baada ya Kikwete kuwasaliti yaani kwenda kinyume na makubaliano yao ya mwaka 2010 baada ya kuzidiwa alimwita Lipumba na masheikh wakubwa akawaomba waokoa jahazi ili Parid slaa asiende magogoni ndipo wakaanza harakati za misikitini kuwa kura za cuf apigiwe Kikwete ilikura za waislmu wasizigawe na kumpa nafasi Padri wa chama cha vidole viwili akaenda ikulu ni bora kikwete maana zimwi likujualo halikuli likakumaliza lakini baada ya kikwete kuingia tena ikulu akawageuka waislamu wenzake ndipo Lipumba akaenda kumsemea msikitini tena na alizunguka nchi nzima makubaliano ilikuwa ni mahakam ya kadhi, OIC na nafasi za juu wapewe upendeleo waislamu lakini Kikwete akawaambie maaskofu wamekataa, huu ulikuwa unafiki mkubwa sana wa kikwete kwani walicho kisema maaskofu juu ya mahakama ya Kadhi ni kuwa grama za mahakama hizo zigaramiwe na waislamu wenyewe na siyo serikali na maaskofu hawana jeuri ya kuzuia dini furani isitimize guzo za imani yake maana hata wao sidhani kama wanaweza kwenda kuwauliza waislamu juu ya kushiriki ekaristi takatifu....ukishikisha ubong kwenye video hiyo utaona utumbo wa kikwete na lipumba....

Sasa huo uchochezi mbona hujaunukuu, naona unaporojoka na kuhorojoka tu.
 
Madam samahani, sikujua ka nabishana na mnazi wa CUF, Kila la kheri ktk kujiokoa na kifo cha kisiasa, maana CDM hawa sio watu wazuri kabisa, wanakaba mpaka penati

Hiyo CUF uliniingiza wewe? unanchekesha!

Naona umekosa hoja unaanza viroja.
 
katika mkanda huo uliorekodiwa katika msikiti wa mtambani jijini dar es salaam, mara baada ya swala ya ijumaa unamwonyesha profesa lipumba akiwataka waumini kupigania haki zao ambazo alisema kwa sasa hawazipati.



Tanzania daima


sasa kuwaambia waislam hayo maneno ni udini...>?? Au kwasababu walengwa ni waislam ...?

Sioni ajabu chanzo ni tanzania daima ... Gazeti la chadema .. Na chadema wanajulikana wazi ni anti islam....


 
Anaweza kuwa na nia njema, lakini njia anayotumia si sahihi. Kuwalisha watu kiapo na kuwaambia wachukue hatua wao kama Waislamu, si Watanzania, huo ni mtazamo finyu na potofu, unaodhihirisha uwezo mdogo wa mtu ambaye anadaiwa kuheshimika na vyombo vya kimataifa kama vile World Bank na IMF!

Elimu yake kumbe ya kuchakachua?
 
Lipumbaf huyo kwisha kazi.Alipokuja hapa muleba hata wenzake kina hassan millanga (diwani-cuf) na faisal kabarabara walimkacha.Fisal mwnyw siku hizi ni cdm damu.Mpeni nafasi jussa ismail radhu awasaidie enyi wana wa uasi.
 

Sasa huo uchochezi mbona hujaunukuu, naona unaporojoka na kuhorojoka tu.

da faiza hawana wana viroja tu! yaani watu kuambiwa wapiganie haki zao ni uchochezi..? akhaaa! ajab hii...
 
CDM acheni ujanja wa kutumia gazeti lenu kutuchonganisha watanzania,yaani kwa mtindo huu ikulu mtakuwa mnaiskia tu labda huo udiwani na ubunge.Kwa kifupi CDM haina sera za kutushawishi sisi great thinkers
 
Sasa hapo kibaya kipo wapi?mbona Chadema mnajenga kitu kibaya na kuonekana Mnadhamira nyengine dhidi ya uislam
 
Anajiita prof..kumbe hamna kitu..mi nilidhan atatumia usomi wake.,kumbe ndo kwanza anapeleka nguvu zake msikitin..tena mahal patakatifu..hii inaonesha waz kuwa lipumba ameishiwa sera..amesahau kuwa"politics has no remote.,get up and change it urself"na si kuwapotosha watu misikitin..

Haya sasa..sa hivi anadai kikwete amewasarit..la hasha!..hakuwasariti,bali the great curse is near..coz alitumia ulimi wake ndan ya nyumba ya MUNGU,na kupotosha waumin..totally insane.
 
2 days back.

Niliona ulivyokuwa unamsahihisha mtu, kuwa wewe ni Sangarara na si Sangara. Lol.

Ramadhan Kareem

btw karibu tena ... jukwaani ... tulishakata tamaa kama utarudi tena... kuna waliofanya sherehe ati umefungiwa maisha

ramadhan kareem
 
kaza buti profesa ila jaribu 2020 utakuwa na nafasi kubwa ya kuupata urais
 
Udini wafanye chadema halafu lawama watupiwe CUF?Msitufanye mandondocha hakuna wadini wanaotumikia dini yao ktk siasa kama CHADEMA.ndio maana hata aki Zitto na Arfi wanabaguliwa. nimewahi kuhudhuria mkutano wa ndani wa CHADEMA hapa mwanza nikasikia kauli ambayo sikutarajia kuisikia,nanukuu
"chama chetu kina malengo yake nayo ni kuhakikisha kinazilinda tunu za kanisa ambazo kwa kiasi kikubwa zimedhoofishwa na Kikwete,mwanzo tulimuamini tukijua kuwa atafanya kama alivyoelekezwa na kanisa ljn kaliumiza sana kanisa hatupaswi kurudia makosa,tuendelee kutunza siri hii tusiropoke tunapokuwa na waswahili"sikuamini nilichokisikia na ndipo nulipo amini kuwa chadema wapo kwa maslahi ya kanisa na si maslahi ya watanzania wote ila ujanja wabaotumia ni kujifanya wapo kwa maslahi ya wote ili wafanikishe makengo yao kisha waislaam wakione cha mtema kuni baada ya serikali yao kujaa mapadri ba maaskofu pamoja na wachungaji pekeee.hata hao waki na Zitto naamini wataenguliwa kama wakivyoenguliwa aki mshume kiate,Dossa Azizi,sykes,Tambaza,Idd Faidhi mafongo,n.k hapo waislaam tutaishi kama wahutu ndani rwanda.maana hawana thamani kabisa
CHADEMAa walipoandamana na kudhibitiwa na pilisi kanisa lilitoa matamko kuitetea CHADEMA
Walipo kufa wafuasi wa CHADEMA Arusha Moro na Iringa kanisa lililaani na kulishutumu jeshi la polisi kuwa lilirumia nguvu nyingi lkn hawahawa maaskofu ndio waliolipongeza jeshi hilo mwaka 1998 kwa kuwaua waislaam,pia kanisa liliipongeza polisi na serikali kwa kuwaua wafuasi wa CUF mwaka 2001 lakini kanisa limenichosha juzi wakati wa maandanano ya waislam jijini dar kwa kutoa tamko linalopingana na lile la awali kwa kulikejeli jeshi la polisu kuwa ni legelege.maana yake jeshi lilipaswa kuwaua waislaam na walalisingekuwa limetumia nguvu nyingi kupita kiasi ila kwa chadema haliruhusiwi kupiga.halafu tuwape nchi waislaam hawatabaki salama.

Mwogope Mungu wa Ibrahim,wa Isaka wa Yakobo,Mungu wa mbingu na nchi acha kuwa kiwanda cha kuzalisha uongo na uzushi!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Sasa huo uchochezi mbona hujaunukuu, naona unaporojoka na kuhorojoka tu.

Tatizo akili yako iko kwenye makalio huwezi kuuona mpaka siku kiona watanzania wanakatana mapakanga ndiyo utaunda tume kuchuguza nini chanzo....kwasasa huwezi kuuona uchochezi unaofanywa na viongozi wako....
 
hivi kuhimiza haya nayo ni udini

“Kwahiyo, huu ni wakati wa kuwa macho kwamba tupo njiapanda. Hii neema, utajiri unaogunduliwa ikiwa hatutajipanga vizuri, neema hii itabadilika kuwa balaa, neema hii badala ya kumsaidia kila Mtanzania aweze kuneemeka na neema hii, itageuka kuwa balaa dhidi yetu,” alibainisha Profesa Lipumba.

Aliwaeleza waumini hao kuwa kwa sasa Waislamu wanapaswa kushiriki kikamilifu katika harakati za siasa za nchi kama walivyoshiriki wazee wao wakati wa kudai uhuru.

“Kwamba kila mwananchi, kila Mtanzania awe raia wa daraja la kwanza. Apate fursa ya uhuru wa dini yake, apate fursa ya kuelimishwa kwa kadiri ya uwezo ambao Mwenyezi Mungu amempa bila kubaguliwa, apate fursa ya kupata huduma bora za afya, apate fursa ya kushiriki kikamilifu katika uendeshaji wa serikali, apate fursa ya uendeshaji wa uchumi wa nchi yetu.

“Kazi ipo kwetu, na ndugu zangu sisi tunapozungumza hapa tumejitoa mhanga. Kwamba hii ni nchi yetu sote, tunamuogopa Mwenyezi Mungu Tunamuogopa Mwenyezi Mungu na huu mwezi wa Ramadhan,” aliweka mkazo Profesa Lipumba

haya ubaya upo wapi hapo???? “Kwahiyo, huu ni wakati wa kuwa macho kwamba tupo njiapanda. Hii neema, utajiri unaogunduliwa ikiwa hatutajipanga vizuri, neema hii itabadilika kuwa balaa, neema hii badala ya kumsaidia kila Mtanzania aweze kuneemeka na neema hii, itageuka kuwa balaa dhidi yetu,”
 
Tukiungana tutauana hadi abaki mmoja tu coz tatizo letu ni jazba
 
UDINI UNAVYOTAFUNA SIASA ZA TANGANYIKA:

Mwaka 2010 ilisemekana (Kitu ambacho na mimi nakiamini lakini usiniulize chanzo) kwamba CDM ilikuwa na imani kubwa sana ya kuchukua nchi kwakuwa kati ya vyama vitatu CDM,CCM na CUF vyama viwili vya CCM na CUF vilikuwa na waislamu kama wagombea wa Urais basi wakajua itakuwa vyepesi kwa wao kuchukua nchi kwa kuwa kura za waislamu zitagawanyika wakati za wakristo asilimia kubwa zitakuwa kwao na hivyo watashinda kwa kura nyingi. Lipumba na Kikwete wakakutana gizani wakafanya makubaliano na hivyo waislamu wengi wakampa kura Kikwete huku Lipumba akiambulia kura laki sita tu nyingi zikiwa zimetokea visiwani Zanzibar.

Mwaka 2015 kuna uwezekano mkubwa (99%) kukawa na wagombea wawili wakristo kati ya vyama vitatu vyenye nguvu (Yaani CCM,CDM na CUF) na vyama viwili vyenyewe ni CDM na CCM hivyo inaonekana sasa karata walioitumia CDM mwaka 2010 mara hii imehamia kwa CUF na hilo CDM wameliona mapema, sasa kilichobaki katika dakika hizi za mwisho kuelekea uchaguzi mkuu basi ni kufanya chochote kinachowezekana kuwachota kuwatolea imani waislamu juu ya chama cha CUF na badala yake CDM ionekane ipo kwa maslahi ya wote.Kulifikia hilo ni kukipaka matope chama cha CUF kwa kutumia vyanzo vyake vya habari likiwepo gazeti la Tanzania Daima. Mwenye macho atazame,mwenye ubongo afikiri na mwenye masikio asikie.

Huo ndiyo mtazamo wangu juu ya siasa za Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni kuanzia mwaka 2010 kuelekea 2015.

NB: Mimi ni raia huru nisiyekuwa na imani na siasa za Tanzania hivyo sijafikiria na wala sidhani kama hivi karibuni nitafikiria kukiunga mkono chama chochote cha siasa maana naona wote wapo kimaslahi binafsi zaidi.Ingawa siipendi CCM.
 
Udini wafanye chadema halafu lawama watupiwe CUF?Msitufanye mandondocha hakuna wadini wanaotumikia dini yao ktk siasa kama CHADEMA.ndio maana hata aki Zitto na Arfi wanabaguliwa. nimewahi kuhudhuria mkutano wa ndani wa CHADEMA hapa mwanza nikasikia kauli ambayo sikutarajia kuisikia,nanukuu
"chama chetu kina malengo yake nayo ni kuhakikisha kinazilinda tunu za kanisa ambazo kwa kiasi kikubwa zimedhoofishwa na Kikwete,mwanzo tulimuamini tukijua kuwa atafanya kama alivyoelekezwa na kanisa ljn kaliumiza sana kanisa hatupaswi kurudia makosa,tuendelee kutunza siri hii tusiropoke tunapokuwa na waswahili"sikuamini nilichokisikia na ndipo nulipo amini kuwa chadema wapo kwa maslahi ya kanisa na si maslahi ya watanzania wote ila ujanja wabaotumia ni kujifanya wapo kwa maslahi ya wote ili wafanikishe makengo yao kisha waislaam wakione cha mtema kuni baada ya serikali yao kujaa mapadri ba maaskofu pamoja na wachungaji pekeee.hata hao waki na Zitto naamini wataenguliwa kama wakivyoenguliwa aki mshume kiate,Dossa Azizi,sykes,Tambaza,Idd Faidhi mafongo,n.k hapo waislaam tutaishi kama wahutu ndani rwanda.maana hawana thamani kabisa
CHADEMAa walipoandamana na kudhibitiwa na pilisi kanisa lilitoa matamko kuitetea CHADEMA
Walipo kufa wafuasi wa CHADEMA Arusha Moro na Iringa kanisa lililaani na kulishutumu jeshi la polisi kuwa lilirumia nguvu nyingi lkn hawahawa maaskofu ndio waliolipongeza jeshi hilo mwaka 1998 kwa kuwaua waislaam,pia kanisa liliipongeza polisi na serikali kwa kuwaua wafuasi wa CUF mwaka 2001 lakini kanisa limenichosha juzi wakati wa maandanano ya waislam jijini dar kwa kutoa tamko linalopingana na lile la awali kwa kulikejeli jeshi la polisu kuwa ni legelege.maana yake jeshi lilipaswa kuwaua waislaam na walalisingekuwa limetumia nguvu nyingi kupita kiasi ila kwa chadema haliruhusiwi kupiga.halafu tuwape nchi waislaam hawatabaki salama.
Acha kutuletea story vya kwenye kawahawa tuwekee hapa ushahidi wa hizo porojo zako usiwe na maneno kama ya mama wa uwt hapo juu nautuwekee pongezi za kanisa kwa jeshi la polisi la kuwapongeza polisi kwa kuuwa...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom